mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Marekani ilikuwa inakasirika sana kuona nchi za ulaya magharibi zinapata gesi ya rahisi toka urusi, maana ilishindwa kupata soko la gesi yake ya LNG huko ulaya. Ilipiga vita bomba la gesi la pili kujengwa toka Urusi hadi ujerumani lakini likajengwa kwa mbinde!! Lilipojengwa iliishinikiza Ujerumani isiliruhusu kufanya kazi kwa kisingizio cha urusi kujiandaa kuivamia ukraine. Na sasa Marekani ndiyo imeyashambulia mabomba ya gesi yote mawili na kwa sasa ndiyo inayouza gesi ulaya kwa bei ya mara NNE ZAIDI!!
Cha ajabu zaidi, wakati yenyewe imeandaa mazingira ya kuuza gesi ya LNG ulaya kwa bei kubwa zaidi, inanuna kuona nchi za OPEEC+ zinaandaa mazingira ya kuzuia bei ya mafuta isishuke kwa kupunguza uzalishaji.
Marekani inataka bei ya mafuta ishuke!! Marekani ina akiba ya mafuta mengi sana kwenye ardhi yake lakini haitaki kuyachimba bali imeyaweka akiba, lakini inataka wengine wayachimbe yote ya kwao!
Kwa sasa Marekani imeinunia sana Saudi arabia kwa kuunga mkono OPEC+ kupunguza uzalishaji ili bei ya mafuta isishuke!! Inasema itaiwekea vikwazo na kuiadhibu Saudi Arabia!! Marekani bila aibu inataka kuilazimisha Urusi iuze mafuta yake kwa bei ndogo ya kupangiwa! Kama mtu hamjui shetani basi anaweza kumjua shetani kwa kuiangalia marekani na sera yake!
Calls in US to punish Saudi Arabia grow louder
Lawmakers have suggested cutting off arms sales after accusing Riyadh of cutting oil output to help Moscow
FILE PHOTO: US President Joe Biden and Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman at the "GCC+3" meeting in Jeddah, July 16, 2022 © Mandel Ngan / Pool via AP
US Senator Richard Blumenthal and Representative Ro Khanna have accused Saudi Arabia of “colluding” with Russia in the Ukraine conflict by cutting OPEC oil production quotas, supposedly to boost Moscow’s energy revenue.