Sijui kwanini cho za Afrika au za Asia hazijifunzi kwa marekani wakawa na demokrasia. Hivi kwa mfano Kim jong UN, Putin nk wakifa lazima nchizi zao zitingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe mana mtu mmoja ndo mwamuzi wa mwisho tofauti na marekani ambapo hata Rais siyo final.
Nchi za Afrika kama Rwanda, Uganda nk nao Marais wao wakifa vita ya wenyewe kwa wenyewe haiepukiki mana all powers are vested on one person.
Marekani haiwi shakeni na yeyote kw asababu misingi ya demokrasia ni mikubwa sana kiasi ambacho haideal na trivial issues kama eti kumtukana rais sijui Nini eti polisi akimbizane na wewe kisa umemtukana rais.
Chi zetu hizi hata ukiandika mtandaoni tu kwamba rais ni mpumbavu unakamatwa na ama kuuawa au kupotezwa kama Ben saanane kipindi Cha jpm. Museven au kagame wanaua hadharani kabisa watu wao. Huu ni ujinga wa hizi ngozi zetu na kamwe tutasindikiza wenye akili. Ndo mana hata papa alipoend marekani alisema " The nation of the brains"