Kama ni hivyo itachukua muda gani ndugu kuzinduka na kulinda maisha yetu.Sio tu kugombanisha pia hataki vita Viishe, hapo Ukraine kama Atakua na Dalili za Kushinda watapunguza misaada ili kubalance.
Libya walisupport waasi, walivyoingia madarakani sasa hivi wana support waasi wengine ambao wanapinga waasi wa mwanzo.
Kukiwa na Vita wanapata Faida mbalimbali ila Faida kubwa zaidi ni Kuuza Silaha,
Mwaka 2018 Nchi zilitumia Dola Bilioni 1800 kununua Silaha, hio ni Trilioni 1.8 ya kimarekani, sawa na Quadrilion zaidi ya 4 za kitamzania. Bajetu yetu zaidi ya miaka 100.
Sasa kwa nini hao wakubali kuchonganishwa na Marekani hadi kuchukiana na kuuana wenyewe kwa wenyewe? Unakuta wana dini moja Mungu mmoja wa kweli lugha moja kwa nini wakubali likafiri kutoka mbali huko aje awachonganishe tena kutumia dini yao kupigana, kuchukiana kuchinjana. Kwa nini iwe hivyo?Kila penye ugomvi duniani unaohusu ndugu na majirani lazima Marekani atakuwepo upande mmoja wapo wa watu hao.
Ukienda Pakistan na Afghanistan utamkuta Mmarekani,Ukienda Urusi na Ukraine ni hivyo hivyo na ukienda Korea Kaskazini na Korea kusini hali ni hiyo hiyo. Vivyo hivyo ukienda Palestina na Israel. Si lazima uwe ugomvi mkubwa hata ugomvi mdogo wa ndani lazima Marekani atakuja upande wa adui yako.
Jee kugombanisha na kuwa mchokozi kwa Marekani ni hobi au kuna faida yoyote kwa taifa hilo.
Issue ni Puppets leader, vita vingi unavyoviona duniani si matakwa ya wananchi, kuna watu wachache wana amua hao wengi wakitaka ama wasitake inakua.Sasa kwa nini hao wakubali kuchonganishwa na Marekani hadi kuchukiana na kuuana wenyewe kwa wenyewe? Unakuta wana dini moja Mungu mmoja wa kweli lugha moja kwa nini wakubali likafiri kutoka mbali huko aje awachonganishe tena kutumia dini yao kupigana, kuchukiana kuchinjana. Kwa nini iwe hivyo?
Kuna msemo mmoja waswahili wanasema Ukipenda Boga penda na ua lake.Dunia hii usipokua mstarabu utabaki Kama mpuuzi, utapigwa ,utadhalilishwa, huwezi simama KWa watu wastarabu na kile unahamini ni mawazo yako na hakuna wa kukufanya kitu, mfano uteke, ubake haki za watu, uwe mungu mtu, upoke KILA kitu kisa tu umejiwekea maulinzi, wakati haki zote za kimungu KWa mwanadam ni sawa na za binadam wengine bila kujali cheo Chako, mtapata kazi kubwa Sana , So USA washughulikia wahuni nasema Kama bado basi ikaongeze bajeti, Dunia imejaa Sana wahuni na ni lazima tiwa adabu bila kujali ni Afrika au mataifa menginge.
Sio tu kugombanisha pia hataki vita Viishe, hapo Ukraine kama Atakua na Dalili za Kushinda watapunguza misaada ili kubalance.
Libya walisupport waasi, walivyoingia madarakani sasa hivi wana support waasi wengine ambao wanapinga waasi wa mwanzo.
Kukiwa na Vita wanapata Faida mbalimbali ila Faida kubwa zaidi ni Kuuza Silaha,
Mwaka 2018 Nchi zilitumia Dola Bilioni 1800 kununua Silaha, hio ni Trilioni 1.8 ya kimarekani, sawa na Quadrilion zaidi ya 4 za kitamzania. Bajetu yetu zaidi ya miaka 100.
Anatumia kila kinachowezekana.Kuanzia dini mpaka ukabila na ubaguzi wa rangi..Sasa kwa nini hao wakubali kuchonganishwa na Marekani hadi kuchukiana na kuuana wenyewe kwa wenyewe? Unakuta wana dini moja Mungu mmoja wa kweli lugha moja kwa nini wakubali likafiri kutoka mbali huko aje awachonganishe tena kutumia dini yao kupigana, kuchukiana kuchinjana. Kwa nini iwe hivyo?
Sasa Kwanini wahanga wawe wajinga kiasi hicho Hadi wakubali?Anatumia kila kinachowezekana.Kuanzia dini mpaka ukabila na ubaguzi wa rangi..
Kama ni kweli anafanya hivi, basi tumsifie kwa akili kubwa alokuwa nayo.Sio tu kugombanisha pia hataki vita Viishe, hapo Ukraine kama Atakua na Dalili za Kushinda watapunguza misaada ili kubalance.
Libya walisupport waasi, walivyoingia madarakani sasa hivi wana support waasi wengine ambao wanapinga waasi wa mwanzo.
Kukiwa na Vita wanapata Faida mbalimbali ila Faida kubwa zaidi ni Kuuza Silaha.
Mwaka 2018 Nchi zilitumia Dola Bilioni 1800 kununua Silaha, hio ni Trilioni 1.8 ya kimarekani, sawa na Quadrilion zaidi ya 4 za kitamzania. Bajetu yetu zaidi ya miaka 100.
TakbiiirrrrrrDunia hii usipokua mstarabu utabaki Kama mpuuzi, utapigwa ,utadhalilishwa, huwezi simama KWa watu wastarabu na kile unahamini ni mawazo yako na hakuna wa kukufanya kitu, mfano uteke, ubake haki za watu, uwe mungu mtu, upoke KILA kitu kisa tu umejiwekea maulinzi, wakati haki zote za kimungu KWa mwanadam ni sawa na za binadam wengine bila kujali cheo Chako, mtapata kazi kubwa Sana , So USA washughulikia wahuni nasema Kama bado basi ikaongeze bajeti, Dunia imejaa Sana wahuni na ni lazima tiwa adabu bila kujali ni Afrika au mataifa menginge.
Kama ni hivyo itachukua muda gani ndugu kuzinduka na kulinda maisha yetu.
Mkuu unaupiga mwingi sana.Mleta uzi, kuna mahali umesema; "si lazima uwe ugomvi mkubwa hata ugomvi mdogo wa ndani lazima Marekani atakuja upande wa adui yako."
Sasa, kumbe ugomvi tayari upo! Pia, kwanini aje upande wa adui yako? Je, hawezi kuja upande wako?
Hapo umejipinga wewe mwenyewe, maana kwenye title ya uzi umeitaja Marekani kuwa ndiyo inayogombanisha majirani. Lakini, kwenye content ya uzi unasema kuna ugomvi tayari unaendelea ambapo Marekani anakuja baadaye.
Waingereza wanasema, contradiction!
Iko hivi:
Marekani huchagua upande ili kulinda maslahi yake kama ambavyo nchi nyingine yoyote inavyofanya. Tofauti ni kuwa, kutokana na ushawishi wake mkubwa wa kisiasa, kiuchumi, kijeshi na kiutamaduni duniani, Marekani husababisha matokeo ama athari kubwa pale inapochagua upande hasa katika mgogoro.
Marekani hii ambayo unasema iko upande wa Korea Kusini, Israel na Ukraine kwa sasa, ndiyo hiyohiyo ambayo ilikuwa upande wa Urusi ama USSR katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia (WW2) ikiisaidia USSR kwenye masuala ya kijeshi na kiraia katika kushinda vita ya kukomboa maeneo yake yaliyovamiwa na Adolf Hitler mwaka 1941 (Operation Barbarossa).
Kuna msemo maarufu unaotumika sana kuielezea Marekani na sera yake ya masuala ya kigeni (foreign policy), unasema: "America has no permanent friends or enemies, only interests."
Swali:
Je, Marekani ndiyo iliyoigombanisha USSR na Ujerumani ya Adolf Hitler?
Mbona mwapokea misaada yao je tz nayo imeolewa? Ndio Nchi za Magharibi agenda yao ya kusaport ushoga ipo ila je kabla yao dunia hii , Hata tanzania Ushoga umeanza leo,?Kuna msemo mmoja waswahili wanasema Ukipenda Boga penda na ua lake.
Kama unaamini wanachokifanya ni Ustaarabu utakubali kuolewa na mwanaume mwenzako? Utakubali kubadilishwa Jinsia?
Wanachofanya Marekani ni Wizi tu nchi nyingi walizovamia baadae wanakiri ni Makosa, Wamevamia Iraq na kusema wana silaha za maangamizi mpaka leo hakujapatikana chochote,
Afghanistan huko wakulima wa watu wa Taliban wame wa hype wee mpaka leo tunawaona wapo vile vile, hawana uwezo wowote wa kijeshi kulipua Pentagon.
AmenTakbiiirrrrrr
We nae huna hoja.kwa hiyo akaulize kwanini?Sasa Kwanini wahanga wawe wajinga kiasi hicho Hadi wakubali?
Iraq ilikuwa ni Nchi inayosaidiwa? Kabla ya vikwazo vya USA walikuwa na Uchumi mkubwa Kushinda hadi Uingereza, Kama Unavyoona Qatar, Libya, Dubai na wengineo Iraq walikuwa na pesa na maendeleo kedekede.Mbona mwapokea misaada yao je tz nayo imeolewa? Ndio Nchi za Magharibi agenda yao ya kusaport ushoga ipo ila je kabla yao dunia hii , Hata tanzania Ushoga umeanza leo,?
Ninaposema USA Watia nchi za kipuuzi nidham lazima kuwaunga mkono,haipunguzi chochote,
Hivi KWa mataifa yetu uchwara Afrika, na mengine bila kuwa na mtu mkubwa kidunia wa kuyaratibu Kama USA wafikili Hali itakuaje, mfano for 95% ya viongozi wa Afrika ni wezi tu, that's wanajipendekeza kuendea kuiba,
Amen