Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
wanauza silaha lakini pia wanaiba mali mfano libya walibeba mafuta.Kila penye ugomvi duniani unaohusu ndugu na majirani lazima Marekani atakuwepo upande mmoja wapo wa watu hao.
Ukienda Pakistan na Afghanistan utamkuta Mmarekani,Ukienda Urusi na Ukraine ni hivyo hivyo na ukienda Korea Kaskazini na Korea kusini hali ni hiyo hiyo. Vivyo hivyo ukienda Palestina na Israel.
Si lazima uwe ugomvi mkubwa hata ugomvi mdogo wa ndani lazima Marekani atakuja upande wa adui yako.
Je, kugombanisha na kuwa mchokozi kwa Marekani ni hobi au kuna faida yoyote kwa taifa hilo.
u.s.a ina store ya mafuta ambayo wanaweza kutumia ndani ya miaka 100 lakini wao hawana sehemu wanayochimba mafuta unaweza sasa kujiuliza wamepat wapo ayo mafuta