Marekani inapata faida gani kugombanisha majirani?

wanauza silaha lakini pia wanaiba mali mfano libya walibeba mafuta.

u.s.a ina store ya mafuta ambayo wanaweza kutumia ndani ya miaka 100 lakini wao hawana sehemu wanayochimba mafuta unaweza sasa kujiuliza wamepat wapo ayo mafuta
 
wanauza silaha lakini pia wanaiba mali mfano libya walibeba mafuta.

u.s.a ina store ya mafuta ambayo wanaweza kutumia ndani ya miaka 100 lakini wao hawana sehemu wanayochimba mafuta unaweza sasa kujiuliza wamepat wapo ayo mafuta
Utakuwa mjinga wa mwisho dunia hii Kama akili yako inajua kwamba Marekani haina visima vya mafuta kwenye ardhi ya Marekani. Kunazia majimbo ya Pennyslivania,North Darkota, California,Nevada,Iowa na Sasa Jimbo la Alaska kote Marekani inachimba Mafuta.

Marekani ndio nchi namba moja duniani kwa kuzalisha Mafuta kuliko Saudi Arabia na Urusi Combined. Marekani inazalisha mapipa 18M kwa siku huku Saudi Arabia mapipa 12M , Urusi 10M na Iran 8M. Marekani haiuzi nje Mafuta licha ya kuzalisha Mafuta mengi kuliko nchi yoyote kwasababu,Marekani ndio mtumiaji mkubwa wa Mafuta duniani. Kwa siku Marekani inatumia mapipa 22M. Kwahiyo Kila siku Marekani inalazimika kununua nje mapipa 4M ili kukidhi mahitaji yake.

Siku nyingine kabla ya kuropoka tafuta Kwanza taarifa.
 
Nasema viongozi wajinga wajinga lazima kushughulikiwa, hakuna namna
 
Marekani ndio shetani mwenyewe
 
MAFUTA YA MAREKANI HAYAFAI NCHI NYENGINE NA HATA WENYEWE HAWAYAPENDI.ULIZA UTAONA
 
Mkuu kuna watu wanaishi kwenye hekaya za ajabu badala ya kujisomea wakaelewa wanaleta habari za kwenye vijiwe vya kahawa na mihadhara ya kidini. Hawa ndio wanaamini Osama hajawai kuwepo na wengine wakisema alikuwa na Sura 12 tofauti
 
US ni baba wa Demokrasia duniani.
 
MAFUTA YA MAREKANI HAYAFAI NCHI NYENGINE NA HATA WENYEWE HAWAYAPENDI.ULIZA UTAONA
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duuuh hii Kali ya mwaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…