Marekani inavuna ilichopanda kufuatia kuibuka kwa wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola

They call it

"What comes around goes around "
 
Samahani,nje ya mada, ulizaliwa 1974 mtoto yupo mwaka wa kwanza university!?? Aisee uliwahi Sana kuzaa!!! Mm ni mwaka huo huo yupo form four!!! Aisee hongera!!ulivitendea haki viungo vya uzazi!!
 
Samahani,nje ya mada, ulizaliwa 1974 mtoto yupo mwaka wa kwanza university!?? Aisee uliwahi Sana kuzaa!!! Mm ni mwaka huo huo yupo form four!!! Aisee hongera!!ulivitendea haki viungo vya uzazi!!
Alizaliwa 2001. Mi hapo nina miaka 27. Ahahahahaha! Nilichangamka mapema! Wewe umezaa wajukuu! Ahahahahaha!!
 
The first step kuachana na dollar hili likfanikiwa Dunia nzima ni hatari.

Halafu nchi zote zenye military base wakatae hizo Kambi zifungwe.

Na mengineyo, ushawishi wa america utapungua sana
 
Unajidhalilisha ndugu funga zipu
 
safiiiiiii
 
Kwanza elimu yako ya level gani?

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
MTOTO WA SHULE amesema elimu yake ni hiyo hapo chini mkuu .......

Nimezaliwa 1974. Mwanangu wa kwanza yupo Mwaka wa Kwanza Ardhi University, DSM. Binafsi nina Shahada ya Uzamili ya Uchumi na Maendeleo ya Jamii (MCED, 2013) ya kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Kwahiyo sijauliza kama layman kama wewe ulivyojibu. Nimeuliza as a scholar!
 
Samahani,nje ya mada, ulizaliwa 1974 mtoto yupo mwaka wa kwanza university!?? Aisee uliwahi Sana kuzaa!!! Mm ni mwaka huo huo yupo form four!!! Aisee hongera!!ulivitendea haki viungo vya uzazi!!
Wee ndo ulichelewa, mbna baba angu mdogo kazaliwa 1975, mtoto wake wa kwaza yuko mwaka wa pili Mzumbe.

Ni halali mbna, kwa umri huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…