usa inahonga mataifa mengine has ya kiariabu ili uweze kuitambua israel .. ni nchi gani dunia inatambuliwa kwa hongo .. kwa mataifa ya kiarabu ambayo kwao ni fursa .. ili walinde ufalme waoHiyo migogoro ya wapalestina ambao ni waarabu hata waarabu wenzao ambazo zipo nchi tuzipo kimya, sisi wamatumbi inatuhusu nini kama wao kwa wao hawana umoja?