Marekani inawauliza Ulaya kile wanachohitaji kwa dhamana ya usalama ya Ukraine

Hiyo migogoro ya wapalestina ambao ni waarabu hata waarabu wenzao ambazo zipo nchi tuzipo kimya, sisi wamatumbi inatuhusu nini kama wao kwa wao hawana umoja?
usa inahonga mataifa mengine has ya kiariabu ili uweze kuitambua israel .. ni nchi gani dunia inatambuliwa kwa hongo .. kwa mataifa ya kiarabu ambayo kwao ni fursa .. ili walinde ufalme wao
 
In long term hii itakuwa ni shida sana mimi naona ulaya na usa wakigawanyika usa atakuwa dhaifu kundeleza vikwazo vyao kww nchi nyingine na usa anamhitaji ue kuliko eu anavyhitaji usa .. eu wanatakiwa wajipange tu maana wanablock yao na pesa yao
 
usa inahonga mataifa mengine has ya kiariabu ili uweze kuitambua israel .. ni nchi gani dunia inatambuliwa kwa hongo .. kwa mataifa ya kiarabu ambayo kwao ni fursa .. ili walinde ufalme wao
Ndio ujue sasa kama waarabu wenyewe wanashindwa sisi wamatumbi hayatuhusu tuna yetu ya Congo pia yanatushinda .
 
Msichokijua ni wababe wawili yaan Simba na chui wameamua kukaa chini na kugawana mapori ili Kila mmoja ale pori lake mashariki ya kati na Amerika kusini zinaenda kuwa chini ya marekani na ulaya yote pamoja na Asia zinaenda kuwa chini ya Russia
 
Africa je
 
Makobaz walifungua nyuzi kila siku wakipotosha kwamba Trump ameisalimisha Ukraine.
Hii vita Haina uhusiano wowote wa kidini sema Kwa kuwa unamsongo mkubwa wa mawazo unalazimisha iwe hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…