Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Vita vya Urusi na Ukraine na vile vya Israel na wapalestina pamoja na rafiki zao vinazidi kuikamua Marekani na kuipokonya ile sifa yao ya kuwa taifa kubwa.
Imeelezwa kuwa karibuni hivi nchi hiyo itaidhinisha kwa mara nyengine kiasi kikubwa cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.Hata hivyo msaada huo umetajwa kuwa hautowafikia waukraine katika siku za karibuni kwani utacheleweshwa na uhaba uliopo kwenye maghala ya silaha ya taifa hilo.