Nguvu nyingi wanapeleka Israeli ambapo kila siku mazayuni wanapigikaVita vya Urusi na Ukraine na vile vya Israel na wapalestina pamoja na rafiki zao vinazidi kuikamua Marekani na kuipokonya ile sifa yao ya kuwa taifa kubwa.
Imeelezwa kuwa karibuni hivi nchi hiyo itaidhinisha kwa mara nyengine kiasi kikubwa cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.Hata hivyo msaada huo umetajwa kuwa hautowafikia waukraine katika siku za karibuni kwani utacheleweshwa na uhaba uliopo kwenye maghala ya silaha ya taifa hilo.
US expected to announce major Ukraine weapons package but delay shipments due to concerns over Pentagon stockpiles
Yani marekani iishiwe silaha na haiko vitani, iishiwe kwa kutoa silaha za misaada sio kweliOblangata yako haiko sawa boss!
Marekani iishiwe siraha?
Watoto na wakinamama ni raia wa kawaida, ingekua Mazayuni anashinda vitani tungeona wanawaua Wanajeshi wa Hamas na sii vinginevyoLakini, ifike mahala watu muwache kujitia moyo
Israel inapigwa na nani mkuu, Israel si ndo inatoa somo kwa magaidi kwamba, kuishi kistarabu inawezekana
Mcheki mwamba hapo chini. Mkombozi wa Uislamu na Waislam. Kipenzi chetu cha dhati Imaam de Hussein.Vita vya Urusi na Ukraine na vile vya Israel na wapalestina pamoja na rafiki zao vinazidi kuikamua Marekani na kuipokonya ile sifa yao ya kuwa taifa kubwa.
Imeelezwa kuwa karibuni hivi nchi hiyo itaidhinisha kwa mara nyengine kiasi kikubwa cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.Hata hivyo msaada huo umetajwa kuwa hautowafikia waukraine katika siku za karibuni kwani utacheleweshwa na uhaba uliopo kwenye maghala ya silaha ya taifa hilo.
US expected to announce major Ukraine weapons package but delay shipments due to concerns over Pentagon stockpiles
US ni jungu kuu, Russia baada ya vita ya miaka 3 imebidi aende north korea na Kamikaze zote anazotumia ni kutoka IranVita vya Urusi na Ukraine na vile vya Israel na wapalestina pamoja na rafiki zao vinazidi kuikamua Marekani na kuipokonya ile sifa yao ya kuwa taifa kubwa.
Imeelezwa kuwa karibuni hivi nchi hiyo itaidhinisha kwa mara nyengine kiasi kikubwa cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.Hata hivyo msaada huo umetajwa kuwa hautowafikia waukraine katika siku za karibuni kwani utacheleweshwa na uhaba uliopo kwenye maghala ya silaha ya taifa hilo.
US expected to announce major Ukraine weapons package but delay shipments due to concerns over Pentagon stockpiles
Na ukraine wamepata ujasiri kutengeneza silaha zao wenyewe long range pia wana Base ndani ya Russia Kurks, silaha za Russia wanazitumia Ukraine kwapiga wenyewe Russia. Majeshi ya Ukraine sasa wanasubiri amri kutinga hadi Moscow aliko huyo janjawirKadhibiti migodi yote ya chuma iliyokuwa Ukraine.Anatengeneza silaha kwa kasi kuliko nchi yoyote ile duniani.
Vita vya Urusi na Ukraine na vile vya Israel na wapalestina pamoja na rafiki zao vinazidi kuikamua Marekani na kuipokonya ile sifa yao ya kuwa taifa kubwa.
Imeelezwa kuwa karibuni hivi nchi hiyo itaidhinisha kwa mara nyengine kiasi kikubwa cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.Hata hivyo msaada huo umetajwa kuwa hautowafikia waukraine katika siku za karibuni kwani utacheleweshwa na uhaba uliopo kwenye maghala ya silaha ya taifa hilo.
US expected to announce major Ukraine weapons package but delay shipments due to concerns over Pentagon stockpiles
Chuki za Urusi hazilingani kabisa na chuki za Marekani na mwanawe Israel.