Marekani itaendelea kutoa misaada ya Dawa zinazozuia Vifo lakini kamwe haitatoa Fedha Kwa Nchi za Afrika

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Foreign wa Marekani amesema wakati wanaendelea kufanya ukaguzi kama walivyoagizwa na Rais Trump watakuwa wanatoa msaada wa Dawa za kuzuia Vifo pekee Kwa waathirika wanaotumia Dawa hizo

Waziri amesema watatoa Dawa na kamwe hawatatoa fedha

Source Citizen TV
 
Waafrica walivyo manyani, wanaweza kuziuza kwa waadhirika hizo dawa ili wapate fedha za kutumbua.
 
Nyie si mnajifanya dawa zenu za hapa ndani mnaziita za kienyeji? Mngeamini katika hizo dawa zenu niaminini mngekuwa mmeshagundua za kutibu magonjwa yote sugu na msingekuwa mnalia lia leo. Utumwa wa akili umewajaa kupitia dini za kuletewa na elimu fake. Pole sana waafrika
 
Mshana Jr 😂
 
Shopping za kwenda kununua Cartier na Prada zitaanza kufadhaliwa na kodi za ndani sasa.
Maana Bi. Tozo ilikuwa akipokea mtonyo wa msaada tu, anakwea pipa kwenda shopping Dubai.

Soon tunaletewa tozo ya kujamiiana ili kufidia gap la mtonyo wa msaada uliozuiliwa na wenyewe.

Wakina Bi. Tozo wakielemewa kabisa , hizo hizo dawa za misaada watataka watuuzie.
 
Screenshot_20250130-152431~2.jpg
 
Back
Top Bottom