Hubble Telescope
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 426
- 527
Dah! Africa inataabika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fedha wasitoe hata Senti Tano! Watoe dawa tu.Waziri wa Foreign wa Marekani amesema wakati wanaendelea kufanya ukaguzi kama walivyoagizwa na Rais Trump watakuwa wanatoa msaada wa Dawa za kuzuia Vifo pekee Kwa waathirika wanaotumia Dawa hizo
Waziri amesema watatoa Dawa na kamwe hawatatoa fedha
Source Citizen TV
Tena wakawa wanasema ni sawa na malaria tu sababu dawa iliwapa jeurWatu walikua wanajigamba ooh ukimwi hatuuogopi ARV zipo mkwara kidogo wanahaha dah! imenikumbusha enzi za covid
huyu POTUS wa sahivi atafanya miaka minne tuione kama miaka50Tena wakawa wanasema ni sawa na malaria tu sababu dawa iliwapa jeur
Bora umefikiria. Mtu aliye karibu kufa bora afe tu maana ni hasara na mateso ndio maana wao wana ile kitu inaitwa euthanasiaKwanini nchi za africa ?? Waafrica tunakosa gani?? Ama kweli africa ni kisanga
Bi Tozo a.k.a chura kiziwi anadanganywa na watu wa intelejensia feki, kuwa Kuna watu wanataka kuchomoa betri. Anaambiwa hebu mtoe huyu mweke huyu, hapa leta fedha kiasi fulani tukusadie Kuthibiti hili kumbe watu wameshagundua style ya upigaji, wakijua Her Excellency si mjuvi wa mambo na Wala si mfatiliaji.Shopping za kwenda kununua Cartier na Prada zitaanza kufadhaliwa na kodi za ndani sasa.
Maana Bi. Tozo ilikuwa akipokea mtonyo wa msaada tu, anakwea pipa kwenda shopping Dubai.
Soon tunaletewa tozo ya kujamiiana ili kufidia gap la mtonyo wa msaada uliozuiliwa na wenyewe.
Wakina Bi. Tozo wakielemewa kabisa , hizo hizo dawa za misaada watataka watuuzie.