johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Itakuwa washashtukia ulaji kwa urefu wa kambaWaziri amesema watatoa Dawa na kamwe hawatatoa fedha
Sawa wameamua tufe tupoteeKwanini nchi za africa ?? Waafrica tunakosa gani?? Ama kweli africa ni kisanga
Itakuwa washashtukia ulaji kwa urefu wa kamba
Marekan kasema mtajijua na mafisad yenu mnayo yaleaβ¦.Hizo dawa itakuwa ili upate lazima ulipie.
So hapo umerukwa mkojo yakakanyagwa Mavi. Mafisadi bado yataendelea kupiga hela kupitia dawa hizo.
Lakin si bado alikopa ππNdio makina Flani yajifunzeni,jiwe alivyokua anawaambia self reliance is very important mlikua humumuelewi..
Kukopa sio sawa na kupewa bure afsaLakin si bado alikopa ππ
Waafrica walivyo manyani, wanaweza kuziuza kwa waadhirika hizo dawa ili wapate fedha za kutumbua.Waziri wa Foreign wa Marekani amesema wakati wanaendelea kufanya ukaguzi kama walivyoagizwa na Rais Trump watakuwa wanatoa msaada wa Dawa za kuzuia Vifo pekee Kwa waathirika wanaotumia Dawa hizo
Waziri amesema watatoa Dawa na kamwe hawatatoa fedha
Source Citizen TV
Mshana Jr πNyie si mnajifanya dawa zenu za hapa ndani mnaziita za kienyeji? Mngeamini katika hizo dawa zenu niaminini mngekuwa mmeshagundua za kutibu magonjwa yote sugu na msingekuwa mnalia lia leo. Utumwa wa akili umewajaa kupitia dini za kuletewa na elimu fake. Pole sana waafrika