Marekani itaendelea kutoa misaada ya Dawa zinazozuia Vifo lakini kamwe haitatoa Fedha Kwa Nchi za Afrika

Fedha wasitoe hata Senti Tano! Watoe dawa tu.
 

Attachments

  • VID-20250115-WA0018.mp4
    16.9 MB
Ikipendeza watunyime vyote, siyo kila anayekunyima ni mchoyo mwingine hukunyima ili akufundishe
 
Kwanini nchi za africa ?? Waafrica tunakosa gani?? Ama kweli africa ni kisanga
Bora umefikiria. Mtu aliye karibu kufa bora afe tu maana ni hasara na mateso ndio maana wao wana ile kitu inaitwa euthanasia
 
Bi Tozo a.k.a chura kiziwi anadanganywa na watu wa intelejensia feki, kuwa Kuna watu wanataka kuchomoa betri. Anaambiwa hebu mtoe huyu mweke huyu, hapa leta fedha kiasi fulani tukusadie Kuthibiti hili kumbe watu wameshagundua style ya upigaji, wakijua Her Excellency si mjuvi wa mambo na Wala si mfatiliaji.

Yeye Kila analoambiwa anaitika tu hewalaa, nakwambia nendeni mkalitazame na kulishughulikia basi bila kujua authenticity yake.

Na wapambe sasa hivi Wana appeal kwenye hofu yake na kutokuwa mfatiliaji iliwapige zaidi, huku wakimwaminisha kwamba anaupiga mwingi ajitie pamba masikioni na kuwa chura kiziwi asisikilize wengine bali wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…