Marekani: Kijana akijihami na Polisi, aua watu 10 kwa risasi sokoni

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
24,606
Reaction score
39,289
Mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki amewaua watu 10, pamoja na afisa wa polisi, kufuatia makabiliano ya saa kadhaa katika soko la mboga huko Colorado, polisi wa Marekani wanasema.

E6PLEM5VDRBMVNDNXBB4KZJQEQ-1.jpeg

Shambulio hilo huko Boulder lilitamatika wakati mtuhumiwa aliyejeruhiwa, aliyekuwa bila shati alipoondolewa kutoka eneo la mkasa katika soko la King Soopers.

Kisa hicho kilipeperushwa mubashara na mashahidi kwenye YouTube.

Tukio hilo lilianza karibu saa 14:30 kwa saa za huko (20:30 GMT) wakati mtuhumiwa alipoingia kwenye duka la vyakula na kuanza kufyatua risasi.

Polisi wa Boulder waliandika katika mtandao wa kijamii wa twitter dakika 20 baadaye kwamba kulikuwa na “mfyatuliaji risasi katika soko la King Soopers kwenye barabara ya Table Mesa”Saa mbili baadaye, polisi tena waliwaonya watu waepuke eneo hilo.

“USITANGAZE kwenye mitandao ya kijamii maelezo yoyote ya oparesheni za polisi unayoyaona ,” ujumbe huo wa twitter uliongeza.

Hata hivyo baadhi ya matukio hayo yalinaswa kwenye kamera na mpita njia na kuwoanyesha manusura wakiwa ndani ya duka hilo la mboga

“Sijui kinachoendelea … nilisikia milio ya risasi, mtu ameanguka chini,” mpiga picha huyo anapiga kelele.

“Kuna mtu aliyejihami ondekeni”. Milio ya risasi inasikika wakati anapokimbia kutoka dukani humo .
 
Marekani hufi kwa mateso hata kidogo
 
Mkuu, unalichukuliaje hilo? Atakuwa amerukwa na akili huyo au unasemaje, maana sioni neno ugaidi hapo
 
... chizi huyo; akapimwe akili. Pole wa waathirika.
 
Back
Top Bottom