Marekani kuanza kusitisha uzalishaji wa magari yanayotumia petrol kuanzia2035

Marekani kuanza kusitisha uzalishaji wa magari yanayotumia petrol kuanzia2035

Mifumo wa kiutawala US ipo tofauti sana na Tanzania karibu kila kitu, Mf. California wanapitisha sheria ya kuzuia magari yanayotumia fossil fuels kuuzwa jimboni mwao ila Texas ni ruhusa kabisa na hawataki hizo limits.
Marekani kuna baadhi ya mambo yanasimamiwa na federal government na mengine ni kwa level ya kijimbo pekee na serikali kuu haina mamlaka ya kuyaingilia.
Kusema kwamba marekani imepitisha sheria ya kutumia magari ya umeme ilhali ni mambo ya state ni kukosea, unless state zote Marekani zikubaliane kimsingi na kisheria kupiga marufuku au ipitishwe sheria na Congress kupinga fossil fuels nchi nzima.
Ndio maana tunaelimishana mkuu
 
kabisa kabisa bila kuchapana kwanza akuna kutoboa.
Uaminifu wa wazungu ulikuja baada ya kuuana sana wao kwa wao.Mfano mtu kakuibia,kakudhulumu,kakutendea kosa nk ukimkamata ni kumalizana unamuua so ikaleta nidhamu ktk Jamii ya watu kuogopa kufanyiana ubaya kwa hofu ya kuuliwa
 
Kwa hiyo Ukraine ndiye aliyeanzisha vita na sio Putin?
Ana ujinga wa kijima huyu Putin kama issue ni NATO mbona Finland na swedeen wameomba kujiunga nayo na asipeleke huko VITA?

Nachouliza Ukraine ilikuwa kosa kujiunga NATO kapigwa, Je Finland na Sweeden je?
Putin anapenda kubabaikiwa ...kutukuzwa ndio maana Dunia nzima tumeingia kwenye njaa kwa ujinga wake
Waambieni USAID na UKAID wawaletee msaada
PUT IN kamatia hapo hapo MKUU maana SMO yetu yenda vyema mpaka sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaweza, sii unaona hata pertrol station zao hazina wafanyakazi wa kujazia watu mafuta...

Una swipe card unajiwekea mwenyewe...
 
Kwa hiyo Ukraine ndiye aliyeanzisha vita na sio Putin?
Ana ujinga wa kijima huyu Putin kama issue ni NATO mbona Finland na swedeen wameomba kujiunga nayo na asipeleke huko VITA?

Nachouliza Ukraine ilikuwa kosa kujiunga NATO kapigwa, Je Finland na Sweeden je?
Putin anapenda kubabaikiwa ...kutukuzwa ndio maana Dunia nzima tumeingia kwenye njaa kwa ujinga wake
Jamaa anajiona hakuna mtu kama yeye hapa ulimwenguni.
 
US wametoka mbali wamepitia hatua nyingi mbaya za jasho na damu mpaka leo hii wapo hapo walipo.
China akili nyingi sana, anamkimbiza kimyakimya tu,
Us kashtuka anaanza kumtisha na kuwekea vikwazo baadhi ya makampuni yake
 
... vipi Putin; plan zake za kuachana na gasoline zikoje? Au akili zake kwa sasa ni kuvamia na kuteka nchi nyingine kama enzi za ujima?
Anatumia mbinu alizotumia us kufika hapo alipo.
 
Raha yake ni kuona dunia ina njaa ,bei ya gesi na mafuta imepaa....kwa kifupi anapenda kuona watu wakihangaika
Msilolijua dunia ilihangaika na inaendelea kuhangaika sababu ya us, waulize nchi za mashariki ya kati hapo wanavyohaika sababu yake, putin nchi moja tu kelele nyingiiiii,
Mnajua habari ya mpendwa wenu ile makenikia mmarekani ndio alikua akitupiga pesa? Au mnajisahaulisha
 
Natakiwa nishushe sana kiwango cha uelewa wangu ili kumwelimisha mjinga kama wewe na anielewe.....
 
Wenzetu wako mbele sana ,wakati sisi tunapambana na tozo.

Jimbo la California ndilo ltaanza na hiyo program ,sidhani kama mbeleni vitukuu vyetu vitaendesha magar ya mafuta.

California has laid out an audacious goal: In 13 years, it should no longer be possible anywhere in the state to buy a new car that runs purely on gasoline.

Yet it remains to be seen whether California can turn that vision into a reality. The state’s plan to ban sales of new internal-combustion engine vehicles by 2035, approved by regulators on Thursday, sets strict limits on what automakers can and can’t sell.

Failure to meet those targets carries the threat of stiff penalties.
Angekuwa Magufuli angesema Mabeberu vita vya kiuchumi wanalihujumu bomba letu la mafuta toka Uganga...na Musiba angetowa neno kwenye hili.
 
Natakiwa nishushe sana kiwango cha uelewa wangu ili kumwelimisha mjinga kama wewe na anielewe.....
Usifikiri ni wewe tu unaelewa mambo wengine hatuelewi, analolifanya us sio jambo la kificho, jiulize nchi kama iran, iraq, libya, syria, afghanstan na wengine walimkosea nini us? Kwani asipojiingiza kwenye hayo matatizo yao kuna shida gani, mbona congo, sudan, rwanda ilee na nyingi africa hawaleti jeshi au kutenga bajeti kwa ajili yao kama kweli wapo kiusalama?

Kama hayo nayo nahitaji kueleweshwa basi mjinga ni wewe unaejua ukweli lkn unataka kugeuza uwe uongo.
 
Madikteta huwa wanawazia makalioni...angalia hata yule kiduku kazi ubabe wa kipumbavu badala ya kujenga nchi yenye uchumi imara
Sisi yetu ya kidemokrasia mkuu imeendelea kuliko Pyongyang asee, tuko mbali sana.
 
Raha yake ni kuona dunia ina njaa ,bei ya gesi na mafuta imepaa....kwa kifupi anapenda kuona watu wakihangaika
Hivi aliyeweka vikwazo ni nani, kweli kuna watu akili zenu hua mnaweka kwenye makalio mmezikalia.
 
Mifumo wa kiutawala US ipo tofauti sana na Tanzania karibu kila kitu, Mf. California wanapitisha sheria ya kuzuia magari yanayotumia fossil fuels kuuzwa jimboni mwao ila Texas ni ruhusa kabisa na hawataki hizo limits.
Marekani kuna baadhi ya mambo yanasimamiwa na federal government na mengine ni kwa level ya kijimbo pekee na serikali kuu haina mamlaka ya kuyaingilia.
Kusema kwamba marekani imepitisha sheria ya kutumia magari ya umeme ilhali ni mambo ya state ni kukosea, unless state zote Marekani zikubaliane kimsingi na kisheria kupiga marufuku au ipitishwe sheria na Congress kupinga fossil fuels nchi nzima.
Magari ya umeme ndiko tunakoelekea. Kwa mfano Europe yote nako kila nchi imejiwekea malengo kuwa ifikapo mwaka fulani ni magri ya umeme tu yataruhusiwa. Hata huko USA ni suala la muda tu. Na sisi huku wanunua ''viporo'' itabidi tuunge tela kwa sababu ´hatuna uwezo wa kutengeneza ya kwetu bali tunasubiri ''viporo'' kutoka huko.
 
Back
Top Bottom