Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

  • Jembe
  • Nyundo
  • Hapa kazi tu
  • Mijicho kodo
 
Sidhani Mahera,Kaijage,Mutungi na Mkuu wa Watu wasiojulikana watapona.
 
Trump hajakubali matokeo, sasa anaondokaje?!
kweli nimeamini ukiwa na mifedha ya kutosha jeuri inakuwa mara dufu.
anacho kifanya Trump ni jeuri ya ukwasi alio nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani Mahera,Kaijage,Mutungi na Mkuu wa Watu wasiojulikana watapona.

Wengi wa hawa ni washamba fulani, hivyo sioni kama wanampango wa kwenda US. Labda watoto wao, ila sio hawa waliotajwa.
 
Kama ukipewa kibano (blacklist) na Marekani na EU, sidhani kama utakuwa uko salama sana, kwa sbb miamba yote ya dunia iko maeneo hayo mawili, including taasisi nyingi za kimataifa.
Unajua kuna nchi zilizoendelea ambazo wao huwaga wanamsikiliza mmarekani au jumuiya ya EU. Yani wao wanasubiri au tegemea sana teligensia ya izo nchi, Ikitokea hizo nchi zimetoa tamko basi na wao wana treat hivyo hivyo, na kuna taasisi nazo hufanya sawa kama ilivyotelewa . mfano kuna taasisi yani ni zaidi kumi ambazo zilikuwa zinatoa support kwa Republican, sasa saa hii wamejitoa ufadhili wao baada ya ghasia za uvamizi wa bunge
 
Guys, this is serious. Is there anyone who can forward my message here to Hon. Pompeo so that I will be able to contribute my opinions with some senses of understanding...
Jaribu kuji compare wewe mtz na myuganda kwenye democracy, suasal la mmarekan na demokrasia yake hilo mnalopitia nyie alikisha pitia 18 century . hayo unayoyadai ni maboresho tuu ya demokrasia yao

let the weak dies n the strongest survive
 
michezo ya kuiba kura ni ya kiafrica
democratic wengi wamejaa waafrica ukiaanzia Obama huwezi kuunganisha dot hapo wamemuibia Trump

🤣 🤣 🤣
 
SEMA huna uwezo wa kwenda huko.
Kwa taarifa yako nilikuwa na girlfriend wa Kitanzania aliyekuwa na uraia wa marekani alinihitaji niende huko na ningepata makaratasi kiulaini kbs but she never lied to me aliniambia kila kitu kinachoendelea saa nyingine alikuwa ananipigia simu yuko kwny kazi za ajabu ajabu tu na hizo kazi zinagombaniwa pia.Nikiangalia kisomo changu kazi yangu na utu wangu...vyote natakiwa kuviground na kuanza upya..moyo ulikataa kbs.ungekuwa fala kama wewe ungeshakurupuka...si ajabu ungekuwa unadinywa mida hii.Huna marinda tena.By the way kazi yangu imenisafirisha maeneo kadhaa duniani.Amen,Si haba na nilikuwa nalipwa pia.
 
Hii kufungia visa impact yake ni ya kuotafutiza sana, labda tuone hizo hatua zaidi zitakuwa ni zipi.
Mpaka hapo I am still a happy man, bata ntakula Dubai, Shanghai, Kyoto nk.
Siyo lazima niende USA
 
Hivi Mtu akiwekewa vikwazo kama hivi anabanwa maeneo gani haswa, yaani anaumiaje maana lengo hapa ni kutoa adhabu.
Madhara yake, chukulia waliowekewa ban ni maofisa wandamizi, HAWATARUSUWA KUINGIA MAREKANI KWA YAFUATAYO
1. Kufuatilia mikopo ya Benki ya dunia wala IMF
2. Mikutano ya Umoja wa Mataifa hawatakanyaga
3. Vipuli vya ndege zetu Boeling hawatakanyaga
4. Umoja wa Ulaya unamsikiliza sana USA. Nchi zote 34 hawatakanya
5. Watoto wao na washirika wao wa hawatakanyaga
6. Akaunti zao za benk ziko hatarini, na mengine mengi

Athali ni nyingi kuliko maelezo. Na katika hilo tusitegemee BIDENI kutengua maake kwao Haki za binadamu hazina chama wala itikani kila ajaye anashindilia
 
What kind of democracy,which lives by undermining others?
 
Na sisi walimu linatuhusu?Maana na sisi tulihusika kwa wingi kwenye uchaguzi ule.
 
Huyo hayupo tena sasa hivi hana kazi hata Umoja wa Ulaya hawakutaka kuonana naye wiki iliyopita.
 
Propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…