Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
We mpuuzi akili gani sasa inahitajika hapo? Hamna alichopoteza, HAMNA Period.Pro USA vichwa panzi. Ktk hili game USA ameluzi pakubwa sana kwa sababu ya kutaka kutumia nguvu mahali panapoitaji kutumia akili.
Huna unachojua kuhusu International Diplomacy na bichwa lako kubwa, kaa kimya.