We mpuuzi akili gani sasa inahitajika hapo? Hamna alichopoteza, HAMNA Period.
Huna unachojua kuhusu International Diplomacy na bichwa lako kubwa, kaa kimya.
We mpuuzi akili gani sasa inahitajika hapo? Hamna alichopoteza, HAMNA Period.
Huna unachojua kuhusu International Diplomacy na bichwa lako kubwa, kaa kimya.
Na ktika hali yoyote ile China isingeweza kushambulia msafala wa maafisa wa marekani. Kwasababu marekani imetaka kjtumia nguvu mahali pa kutumia akili, basi ajenda yake juu ya Taiwan zitakuwa ngumu sana
Aliyetaka kutumia nguvu ni yule alliyesema atawasha moto. Kabla ya kuumguzwa kwa vile ushapewa taarifaya kuunguzwa lazima ujipange ili maafa yasikufike.