Marekani kuinyamazisha Urusi?

Hapo hata bush angeufyata tena kwa bush ndiyo kabisaa maana [emoji631]ni wepesi kuingia vitani wakijua wao wapo salama na vita watashinda na wakishindwa wanaondoka pasipo ardhi yao kuguswa, kinyume na hivyo marekani siyo rahisi kuingia vitani
 
Umeandika kishabiki Sana mkuu.
 
We Unaongelea Marekani ya Mwaka 90's na Russia ya Gorbachev.Putin anakwambia kapindua Meza na Mambo ya Sanction alikuwa anayajua kwa hiyo kajipanga.
Ulizia hali ya maisha sasa kule russia ata mwezi bado, mpigie simu gobachev
 
Hii ni kahawa [emoji1787]
Nimecheka sana uliposema ni kahawa.., lakini ndio uhalisia Marekani anatumia sayansi sana kwenye hili jambo anatumia vita ya Ukraine kumdhoofisha russia na amekusudia kweli kweli ni vile Western na ulaya wakitafuta sababu tu na sasa Putin hakutaamuli Russia lazima iporomoke, Putini ni mtu wa kuongea na kujisifu lakini uhalisia wa Russia na uchumi wao saiv majibu yameshaanza kupatikana anguko lao kwa kasi ya ajabu sana ata miezi 4 bado,

Russia ili asimame kwa miguu yake tena inabidi tu kupata washirika wenzake ambao hawo washirika hawatakuwa wakiitegemea America na Ulaya jambo ambalo kwa dunia hii ni ngumu sana, Marekani aliwekeza miaka mingi ata mimi na wewe tulikuwa hatujazaliwa., ndivyo ilivyo hata ukikataa
 
Ume copy na kupest from tweeter naomba nijue KIWANGO chako Cha ELIMU na hizo chai zako Russia sio ya mchezo mchezo kasome history pepar 2,pia pitia documentary ndio uje na huuu uji WAKO wa copy and paste
 
Kuanzia wamarekani weusi wa Lituhi hadi wamarekani weupe wa Massachusetts wamalowana kutokana na kibano cha Putin huko Ukraine
 
Kwa hilo Marekani inataka kusababisha maafa Ulaya!
Harafu Marekani hajawi kupigana vita na nchi yo yote bila msaada wa washirika wake.
 
Pumba first grade!!..
 
Hata siku moja Urusi haiwezi kutishiwa nyau na Marekani!! Marekani hawezi kutia mguu wake dhidi ya urusi! sana sana itatumia mikono na damu ya waukraine kupigana na urusi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…