BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Yes Thats How Music Is... Utakuwaje Muuza Vitumbua Halafu unaviweka UvunguniKiki
[emoji23]Yes Thats How Music Is... Utakuwaje Muuza Vitumbua Halafu unaviweka Uvunguni
Kwel mkuu??Diamond kama ameshaanza kupotea....Toka alivyoboronga kwenye MTV hakuna mtu mwenye tyme naye..
Hilo wasema wwDiamond kama ameshaanza kupotea....Toka alivyoboronga kwenye MTV hakuna mtu mwenye tyme naye..
Hiyo ni kama ndoto nyevuDiamond kama ameshaanza kupotea....Toka alivyoboronga kwenye MTV hakuna mtu mwenye tyme naye..
Ndo hivyo...Anahitaji nguvu ya ziada kuinuka...Kwel mkuu??
mi nakuonaga mtu wa maana ilaMsiwe mnasema hitmaker wa salome maana aliyefanya ile nyimbo ihit ni ray
Hapana mkuu...ni hali halisi....Hilo wasema ww
Ni hali halisi...Tuache unafiki...Hiyo ni kama ndoto nyevu
jamaniii mbona aibu kwa mtu mzima kuongea hiviDiamond kama ameshaanza kupotea....Toka alivyoboronga kwenye MTV hakuna mtu mwenye tyme naye..
kwa hiyo ronaldo alipokosa tuzo kwa miaka 4 mfululizo alikua mbovu au ?Ndo hivyo...Anahitaji nguvu ya ziada kuinuka...
Kitendo cha ku-perform poor kwenye MTV na kukosa tuzo ni safari tosha yeye kuanza kusahaulika kwenye game ya mziki....
Kwa utafiti upi ulio fanya nyie ndo darasani mlikuwa mnafauli kwa bahati tu maana hamtaki kushughulisha vichwa kabisaHapana mkuu...ni hali halisi....
Yani hata hapa nyumbani ni kama watu wako baridi sana.....Zile amsha amsha za Diamond ni kama zimepoa....