Marekani kuipa airtime ya kutosha Wimbo mpya wa Diamond na Neyo

Kwahiyo nani anaamua wimbo upigwe Marekani? Jibu swali usiwe kama poyoyo
Kwa kawaida na mazoea yaliyopo,na ukilitimba pamoja na roho ya kwanini ya wasanii wa ulaya ni hivi.........

wasanii wa Ulaya wakishirikishwa na wasanii wa Africa kweny nyimbo zao basi mara zote wamekuwa wakikataa kusaini fomu ya kuruhusu nyimbo hizo zipigwe na kwenye vituo vyao vya radio na TV....

Wenzetu kule Ulaya kila nyimbo ya msanii inapopigwa kwenye Radio na Tv basi msanii husika analipwa pesa..na ndio maana unaona wasanii wa ulaya ni matajiri saaana...

Mpaka uingize nyimbo yako ulaya basi ni Lazima uwe umemshirikisha msanii wa huko huko Ulaya na huyo msanii awe amekubali nyimbo yako ichezwe kwa kusaini fomu maalumu ambayo inatambulika na serikali ya huko kwao....

Nyimbo zetu waafrica hazipigwi Ulaya,Labda kama ni Disco tena la Waafrica tu ndio utazisikia..hasa nyimbo za Nigeria.

Msanii Wizkid ndiye msanii aliyebahatika kukubaliwa Na Drake nyimbo yake kuchezwa katika vituo mbalimbali vya radio na Tv huko Ulaya mpaka akafanikiwa kuingia kwenye Billboard100 za Ulaya...amepata hela nyingi sana Wizkid..

Psquare walibaniwa na RickRozy,Davido aligonga mwamba kwa Mikmeel..na wengineo walishindwa...

Diamond atakuwa ni msanii wa pili Africa kufanikiwa kutoboa mpaka Marekani na Ulaya kwa ujumla..hakika haya ni mafanikio makubwa sana kwa Diamond na Africa mashariki kwa ujumla...

Una swali mkuu?!
 
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Diamond is another level jaman!!
Wizkid watch your back, our boy is coming heheh
 
Simba mla swala mbeba tuzo bila gunduman hata south BET ungetutoa kimasomaso gunduman mapua kibakuli mr kulalamika awards ali chafua zile awards mr ndumba.
 
Kwa kawaida na mazoea yaliyopo,na ukilitimba pamoja na roho ya kwanini ya wasanii wa ulaya ni hivi.........

wasanii wa Ulaya wakishirikishwa na wasanii wa Africa kweny nyimbo zao basi mara zote wamekuwa wakikataa kusaini fomu ya kuruhusu nyimbo hizo zipigwe na kwenye vituo vyao vya radio na TV....

Wenzetu kule Ulaya kila nyimbo ya msanii inapopigwa kwenye Radio na Tv basi msanii husika analipwa pesa..na ndio maana unaona wasanii wa ulaya ni matajiri saaana...

Mpaka uingize nyimbo yako ulaya basi ni Lazima uwe umemshirikisha msanii wa huko huko Ulaya na huyo msanii awe amekubali nyimbo yako ichezwe kwa kusaini fomu maalumu ambayo inatambulika na serikali ya huko kwao....

Nyimbo zetu waafrica hazipigwi Ulaya,Labda kama ni Disco tena la Waafrica tu ndio utazisikia..hasa nyimbo za Nigeria.

Msanii Wizkid ndiye msanii aliyebahatika kukubaliwa Na Drake nyimbo yake kuchezwa katika vituo mbalimbali vya radio na Tv huko Ulaya mpaka akafanikiwa kuingia kwenye Billboard100 za Ulaya...amepata hela nyingi sana Wizkid..

Psquare walibaniwa na RickRozy,Davido aligonga mwamba kwa Mikmeel..na wengineo walishindwa...

Diamond atakuwa ni msanii wa pili Africa kufanikiwa kutoboa mpaka Marekani na Ulaya kwa ujumla..hakika haya ni mafanikio makubwa sana kwa Diamond na Africa mashariki kwa ujumla...

Una swali mkuu?!
Kama hujaelewa comment hii ujue wew kichwani hamnazo.Kila kukicha Tanzania inazungumzwa kupitia mziiki,yote hata ni Diamond Platnumz.
Bila kusahau
[HASHTAG]#VodacomKaziNiKwako[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MaishaNiMurua[/HASHTAG].
 
Kwa kawaida na mazoea yaliyopo,na ukilitimba pamoja na roho ya kwanini ya wasanii wa ulaya ni hivi.........

wasanii wa Ulaya wakishirikishwa na wasanii wa Africa kweny nyimbo zao basi mara zote wamekuwa wakikataa kusaini fomu ya kuruhusu nyimbo hizo zipigwe na kwenye vituo vyao vya radio na TV....

Wenzetu kule Ulaya kila nyimbo ya msanii inapopigwa kwenye Radio na Tv basi msanii husika analipwa pesa..na ndio maana unaona wasanii wa ulaya ni matajiri saaana...

Mpaka uingize nyimbo yako ulaya basi ni Lazima uwe umemshirikisha msanii wa huko huko Ulaya na huyo msanii awe amekubali nyimbo yako ichezwe kwa kusaini fomu maalumu ambayo inatambulika na serikali ya huko kwao....

Nyimbo zetu waafrica hazipigwi Ulaya,Labda kama ni Disco tena la Waafrica tu ndio utazisikia..hasa nyimbo za Nigeria.

Msanii Wizkid ndiye msanii aliyebahatika kukubaliwa Na Drake nyimbo yake kuchezwa katika vituo mbalimbali vya radio na Tv huko Ulaya mpaka akafanikiwa kuingia kwenye Billboard100 za Ulaya...amepata hela nyingi sana Wizkid..

Psquare walibaniwa na RickRozy,Davido aligonga mwamba kwa Mikmeel..na wengineo walishindwa...

Diamond atakuwa ni msanii wa pili Africa kufanikiwa kutoboa mpaka Marekani na Ulaya kwa ujumla..hakika haya ni mafanikio makubwa sana kwa Diamond na Africa mashariki kwa ujumla...

Una swali mkuu?!
2 face kumbukumbu zangu zinaonyesha aliingia chati za billboard na African queen, halafu inasemekana walipogundua ni muafrika wa afrika wakamchomoa fasta na kumtupia huko!
 
Back
Top Bottom