mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hatimaye Marekani imeamua kuipa Ukraine ulinzi wa anga "Patriot Missile Defense System". Kwa wasiojua wanaweza kudhani kuwa hizi ni silaha za ajabu sana na ulinzi wake dhidi ya mashambulizi ya anga ni wa uhakika! Niwakumbushe tu kuwa ulinzi huu wa anga kwa kutumia Patriot Missile defense system inao pia nchi ya Saudi Arabia. Lakini visima vya mafuta vya saudi arabia vimekuwa vikishambuliwa sana na waasi wa Yemen kwa kutumia drones na missiles wakati visima vyao vinalindwa na hizo Patriot missile defense system si mara moja si mara mbili bali zaidi!! Hii imeifanya Saudi Arabia kupunguza kuitumainia Marekani na kuanza maelewano zaidi na Urusi na China!!
Patriot missile defense system pia wanayo Israel, lakini Israel haiiamini system hiyo baada ya kuona makombora ya Wapalestina yamekuwa yakipenya sana. Israel inatumia zaidi mfuomo wqke wa ulinzi wa anga ujulikanao kama "Iron Dome". Zelensyky alianza kuitaka Iron Dome ya Israel wakamtolea nje!!
Kwa hiyo Ukraine itapewa huo mfumo wa Patriot ulio wa ghali sana na vipigo vitaendelea!! Watabaki kusema "tumefanikiwa kudodosha drones nyingi za urusi LAKINI CHACHE ZILIZOPENYA ZIMELETA UHARIBIFU MKUBWA kama ambavyo husema sasa karibuni kwenye kila shambulio!!
Ila kwa wapambe kama MK 254, habari ya Patriot kuingia Ukraine kwao ni sherehe, japo kipigo sana sana kitaongezeka!! Si unajua tena ukipigana na mtu mwenye fimbo unatumia nguvu kidogo lakini akichukua panga na wewe unatumia nguvu zaidi na mwisho wa siku kipigo kinakuwa kikubwa zaidi!!