Marekani kuondoa kampuni zote za kichina kwenye masoko yake ya hisa kwa kukiuka masharti ya CAG wa Marekani

Mkuu apo wote wapo sawa marekani amesha kalia kuti kavu Ana jaribu kujiokoa!
Ni ngum sana!

Hawana hata busara ya kujiokoa kistaarabu - wanafikiri kuwa overly bully na kutumia cowboy tactics ndio kutawasaidia kudhibiti tishio la Huawei dhidi ya makampuni ya Merakani ambayo mpaka sasa yameshindwa miserably ku-roll out their own stuff ili wa compete na Huawei, kinyume chake wanaipiga vita sehemu zote kwa kuwazulia Wachina mambo chungu nzima ambayo hayana ukweli wowote, madai mengine are too childish ukijaribu kuya analyse.
 
100%✔️
 
Tuombe uhai tu mkuu!
Us alitumia pesa yake Sana kuchapia nayo watu mpira umekuja kubadilika akaja kukuta mchina Ana miliki dola nyingi kuliko yeye!
Chukulia tu wafanya biashara karibi 90%
Apa Tanzania wana saka dola nakuipeleka uchina !
Chukuwa nchi zote za Africa zina fanya hivyo na za ulaya kwa kiasi kikubwa!
Us ana kazi kweli kweli
 
Teh teh teh sasa Dollars inapotumika kwa wingi nani anapata faida,Mchina au Mmarekani mwenye hiyo Dollar?
 
Kamata pesa ya jiwe weka ndani sumbua mzunguko wa pesa uone atakufanya nini!
Me sio mjuzi wa mambo ayo ila juwa tu nguvu ya Ku control mzunguko wa dollar umesha tingishwa na China!
 
Ni kwamba hakuna vikwazo marekani anavyoeka kwa China visipate jibu ya vikwazo kama hivyo siku ya pili (inaitwa tic for tac), sema anachokifanya marekani kitatangaziwa ulimwengu mzima ili kutisha nchi nyengine zisizojiweza
Vikwazo vya makampuni
Zengwe Hong Kong
Zengwe South China Sea
Kweli marekani kaamua, mchina Kila siku anasema atalipa kisasi Ila yupo kimya mpaka anatukera sisi wapenda vurugu
Nalog off
Beijing:

The United States and China imposed visa restrictions on each other in tit-for-tat moves over their disagreement on Tibet, adding fuel to the diplomatic fire between the superpowers.

China announced Wednesday its curbs on people from the US who "behave badly" on Tibet-related issues, in retaliation for American curbs unveiled a day before.

Secretary of State Mike Pompeo said Tuesday he was taking action against an unspecified number of officials under a new US law that presses China to let Americans visit the far west region, renewing a call for "meaningful autonomy" in the predominantly Buddhist area.

"In response to the wrong actions of the US, China has decided to impose visa restrictions on US personnel who behave badly on Tibet-related issues," he said, warning of further damage to US-China relations and cooperation.

Amid high tension with China, the United States has increasingly been issuing such visa sanctions, earlier taking action over Beijing's clampdown on free expression in Hong Kong and its incarceration of some one million Uighurs and other mostly Muslim Turkic minorities.
 
Ni kwamba hakuna vikwazo marekani anavyoeka kwa China visipate jibu ya vikwazo kama hivyo siku ya pili (inaitwa tic for tac), sema anachokifanya marekani kitatangaziwa ulimwengu mzima ili kutisha nchi nyengine zisizojiweza Beijing:

The United States and China imposed visa restrictions on each other in tit-for-tat moves over their disagreement on Tibet, adding fuel to the diplomatic fire between the superpowers.

China announced Wednesday its curbs on people from the US who "behave badly" on Tibet-related issues, in retaliation for American curbs unveiled a day before.

Secretary of State Mike Pompeo said Tuesday he was taking action against an unspecified number of officials under a new US law that presses China to let Americans visit the far west region, renewing a call for "meaningful autonomy" in the predominantly Buddhist area.

"In response to the wrong actions of the US, China has decided to impose visa restrictions on US personnel who behave badly on Tibet-related issues," he said, warning of further damage to US-China relations and cooperation.

Amid high tension with China, the United States has increasingly been issuing such visa sanctions, earlier taking action over Beijing's clampdown on free expression in Hong Kong and its incarceration of some one million Uighurs and other mostly Muslim Turkic minorities.
Thumbs up for China,this is what I want to hear,its like ash to ash and dust to dust !
This is about Tibet
Now I'm waiting to hear about Hong Kong, Taiwan and all responses about China and USA conflict !
Vipi jamani kiingereza nimejitahidi au mdebwedo?

Ndio mkuu uko vyema sana
 
Trump🐷 anakula na Mchina sahani moja Hadi Mchina aombe poo
Trump au Rais yeyote wa Marekani hawawezi kuzuia maendeleo ya China; wanachoweza kufanya ni kuyachelewesha tu.
Nasema hivyo kwa sababu maendeleo aliyonayo mchina hayamtegemei mmarekani 100% hata kama kwa sehemu ni kweli; lakini hata mmarekani anao utegemezi wa namna fulani kwa mchina kama soko, malighafi na nguvukazi.
Marekani huru ni taifa lenye umri zaidi ya miaka 300, tofauti na China ambayo haijatimiza hata miaka 100 tangu iwe taifa huru; lakini sasa hivi mmarekani anahangaika na kutaka kumdhibiti mchina ambaye anachuana nae kiuchumi na hata kijeshi.
Vikwazo vyote anavyoviweka Trump ni hofu tu na kiwewe kinachomsukuma afanye hayo yote akiongozwa na ubinafsi wa kibeberu kutaka kuwa juu ya mataifa yote duniani; unyama na ushenzi mtupu!!
Hivi, maendeleo ni kwa wamarekani pekee hapa duniani? Mataifa mengine hayastahili kujitafutia maendeleo yake kwa ajili ya watu wao?
Ni upuuzi kushabikia ubazazi wa marekani na mabeberu wenzake kwa kutweza maendeleo ya mchina.
Mchina anasonga mbele; vikwazo vya marekani na marafiki zake ni changamoto tu kwa mchina ambazo atazipatia tu ufumbuzi soon or later and life will go on as usual.
 
Trump🐷 anakula na Mchina sahani moja Hadi Mchina aombe poo
Trump au Rais yeyote wa Marekani hawawezi kuzuia maendeleo ya China; wanachoweza kufanya ni kuyachelewesha tu.
Nasema hivyo kwa sababu maendeleo aliyonayo mchina hayamtegemei mmarekani 100% hata kama kwa sehemu ni kweli; lakini hata mmarekani anao utegemezi wa namna fulani kwa mchina kama soko, malighafi na nguvukazi.
Marekani huru ni taifa lenye umri zaidi ya miaka 300, tofauti na China ambayo haijatimiza miaka 100 tangu iwe taifa huru; lakini sasa hivi mmarekani anahangaika na kutaka kumdhibiti mchina ambaye anachuana nae kiuchumi na hata kijeshi.

Back
Top Bottom