Marekani kusitisha misaada kunaweza fanya shilingi yetu iporomoke dhidi ya Dola?

Marekani kusitisha misaada kunaweza fanya shilingi yetu iporomoke dhidi ya Dola?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Inadaiwa tulikuwa tunapewa dola 512milioni kwa mwaka. Je kukatiwa hizo pesa kutafanya shilingi idhoofike dhidi ya dola?
 
Tanzania, sisi ni matajiri sana. Naomba utaratibu wa BOT kununua na kuuza madini itatusaidia sanaaaa
 
Back
Top Bottom