Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta wakidai Instagram na Facebook inatengeneza uraibu na kudhuru watoto

Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta wakidai Instagram na Facebook inatengeneza uraibu na kudhuru watoto

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
meta.jpeg

Kwa mujibu wa kesi hiyo inadaiwa kwamba Meta ilihusika katika 'mpango wa kutumia watumiaji watoto wa mitandao hiyo kwa faida' kwa kuwadanganya kuhusu vipengele vya usalama na upatikanaji wa maudhui yenye madhara, kukusanya data zao na kukiuka sheria za shirikisho kuhusu faragha ya watoto.

Maafisa wa majimbo wanadai kwamba kampuni ilifanya mabadiliko kwa makusudi kwa lengo la kuendelea kuwavuta watoto kwenye tovuti hiyo kwa kuumiza afya zao, kukiuka sheria za ulinzi wa watumiaji.

Mfululizo wa kesi nyingi ni matokeo ya uchunguzi wa mwaka wa 2021 uliosambaa kuhusu madai ya Meta kuchangia katika matatizo ya afya ya akili miongoni mwa vijana.

Ingawa wigo wa madai ya kisheria unatofautiana, wanatoa taswira ya kampuni ambayo inawavuta watoto kwenye majukwaa yake kwa kutumia mbinu zenye madhara pamoja na udanganyifu.

Washington Post
 
Majimbo 41 na D.C. yamefungua mashtaka dhidi ya Meta yakidai Kampuni hiyo inadhuru Watoto kwa kuunda vipengele kwenye mitandao ya Instagram na Facebook ambavyo vinawafanya Watoto kuwa na uraibu wa kufuatilia muda mwingi

Sehemu ya hatua wanazotaka zichukuliwe ni jitihada zaidi za Wasimamizi wa Serikali kukabiliana na athari za Mitandao ya Kijamii kwa Afya ya Akili ya Watoto

Uamuzi huo umekuja baada ya uchunguzi mkubwa wa Mwaka 2021 kuhusu madai kuwa Meta inachangia changamto ya Afya ya Akili kwa vijana wengi.

Ingawa wigo wa madai ya kisheria unatofautiana, wanatoa picha ya kampuni ambayo imewaingiza Watoto kwenye majukwaa yake kwa kutumia mbinu mbaya na za ujanja.

=================

41 states sue Meta, claiming Instagram, Facebook are addictive, harm kids

Forty-one states and D.C. are suing Meta, alleging that the tech giant harms children by building addictive features into Instagram and Facebook — legal actions that represent the most significant effort by state enforcers to tackle the impact of social media on children’s mental health.

The barrage of lawsuits is the culmination of a sprawling 2021 investigation into claims that Meta contributes to mental health issues among young people. While the scope of the legal claims vary, they paint a picture of a company that has hooked children on its platforms using harmful and manipulative tactics.

A 233-page federal complaint alleges that the company engaged in a “scheme to exploit young users for profit” by misleading them about safety features and the prevalence of harmful content, harvesting their data and violating federal laws on children’s privacy. State officials claim that the company knowingly deployed changes to keep children on the site to the detriment of their well-being, violating consumer protection laws.

The allegations mark a rare bipartisan agreement and underscore the groundswell of concern among government leaders that social networks harm younger users by optimizing for engagement over safety.

“At a time when our nation is not seeing the level of bipartisan problem-solving collaboration that we need, you can see it here among this group of attorneys general,” Colorado Attorney General Phil Weiser (D), who is co-leading the federal suit, said during a joint news conference Tuesday.

Thirty-three states including Colorado and California are filing a joint lawsuit in federal court in the Northern District of California, while attorneys general for D.C. and eight states are filing separate complaints in federal, state or local courts.

“Our bipartisan investigation has arrived at a solemn conclusion: Meta has been harming our children and teens, cultivating addiction to boost corporate profits,” California Attorney General Rob Bonta (D), one of the officials leading the effort, said in a statement.

Meta spokesperson Liza Crenshaw said in a statement that the company is “disappointed that instead of working productively with companies across the industry to create clear, age-appropriate standards for the many apps teens use, the attorneys general have chosen this path.”

Weiser said state officials had not discussed whether the cases will be consolidated in court, as in recent lawsuits by school districts and parents, but said the suits will probably be “managed in tandem.” The attorneys general expressed optimism that the multipronged action, whether through settlement or regulatory pressure, could force the company to change its conduct around children.

Civil penalties, changes in business practices and restitution are all be on the table as potential consequences, the attorneys general said.

The effect of Meta’s products on young people was thrust into the national spotlight after a 2021 Wall Street Journal report detailed internal research, leaked by Facebook whistleblower Frances Haugen, showing that Instagram worsened body issues for some teen girls.

Source: Washingtonpost
 
Back
Top Bottom