Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Naam, nikiipata pia ntakutagNgoja niitafute mkuu.
Nitakutag.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, nikiipata pia ntakutagNgoja niitafute mkuu.
Nitakutag.
Serikali ya Marekani haina udhibiti wa bunduki wa raia kubeba bunduki, Republicans wanadai second amendment imewapa raia uhuru wa kumiliki bunduki vyovyote watakavyo kwa ajili ya kujilinda bila kufuatiliwa na serikali.Kwani serikali ya US haina udhibiti wa raia kubeba bunduki?
Sijaelewa hapo
Highly unlikely lakini kuna huyu jamaa kaandika paper anasema inawezekana.Kuelekea mwaka 2028 anaweza kutumia influence yake kuchagua nani atakuwa nominee wa Republican kwenye Uchaguzi.
Huyo nominee anaweza akamchagua Trump kuwa running mate (vice president) maana inaruhusiwa kikatiba.
Then huyo nominee akishinda uchaguzi, anaweza kujiuzulu meaning automatically Trump anakuwa Rais.
Serikali ya Marekani haina udhibiti wa bunduki wa raia kubeba bunduki, Republicans wanadai second amendment imewapa raia uhuru wa kumiliki bunduki vyovyote watakavyo kwa ajili ya kujilinda bila kufuatiliwa na serikali.
Marekani sheria ya kudhibiti pombe inakataza mtu aliye chini ya miaka 21 kununua, kuuza au kunywa pombe lakini sheria ya kununua bunduki inaruhusiwa kuanzia miaka 18. Unaweza kununua bunduki ukampa mtu kama zawadi bila utaratibu wowote wa serikali wa kufuatilia.
kama unaweza kumpa mtu bunduki uliyoinunua bila Regulations zozote hiyo ni sawa na kununua tomato paste tu dukani, halafu sheria za bunduki ni za majimbo, jimbo kama Florida unaweza kuingia dukani ukanunua bunduki kama unavyonunua tomato paste tu.Mkuu unavyoiweka ni kama raia wa Marekani anaweza akaingia tu dukani akanunua bunduki kama mtu anavyonunua tomato paste.
Meanwhile serikali ya Marekani imeweka background checks kwenye states zote kwa mtu yeyote anayetaka kununua bunduki.
Kusema kwamba Serikali ya Marekani hai-regulate guns sidhani kama haina ukweli
kama unaweza kumpa mtu bunduki uliyoinunua bila Regulations zozote hiyo ni sawa na kununua tomato paste tu dukani, halafu sheria za bunduki ni za majimbo, jimbo kama Florida unaweza kuingia dukani ukanunua bunduki kama unavyonunua tomato paste tu.
Sheria za bunduki zinapuuzwa kwa sababu hazina uzito mahakamani, ziko kama mapambo tu, labda mpaka pale silaha itakapotumika kwenye uhalifu na mtu akamatwe ndio zinaweza kurejewa.Ni za majimbo yes lakini kuna federal law ina-dictate kuwa ni lazima mtu afanyiwe background checks kabla ya kununua bunduki.
Nadhani kuna states zinafanya kupuuza tu mkuu.
Democrats wangeanza kwa kufuta NRA na kuifilisi kabisa. Wenyewe ndo inawapa kiburi gunwoners.
Ni PDF, unahitaji kuwa na browser inayosoma PDF.Veru unlikely lakini AIPAC na genge lake likiamua inawezekana
Najaribu kuisoma ila haifunguki mkuu au ni simu yangu?
Mbona Tanzania tayari kuna huo mfumo unaouongelea na sasa umetusaidia nini wakati umaskini ndio unaongezeka kila kukicha huku mafisadi wakila bata kwa fedha za umma.Mwisho wa siku wengi wetu tutakuja kukubaliana pamoja kuwa DEMOKRASIA ni mfumo uliowekwa mahsusi na wamagharibi ili kutuwekea mapandikizi yao ili kuendeleza ukoloni mamboleohuku AFRIKA na dunia ya tatu kwa ujumla.
Watu wote wanaweza kuwa wanasiasa ila sio kila mwanasiasa anaweza kuwa kiongozi bora. Waliolitambua hilo kama China, Rusia, etc wamewakumbatia viongozi wao wanaowapeleka mbele bila kutumia huu mfumo na maendeleo yanaonekana.
Imefikia mahali Afrika tuje na/au turudie mifumo yetu ya kiuongozi kuliko kupoteza mabilioni ya pesa, muda na wakati mwingine kuchochea vurugu hadi vifo kila baada ya miaka 4/5 kwa ujinga ule ule tu.
Huyo chawa atauwawa na FBI na CIA muda sio mrefuWakuu,
Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM.
Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3 Donald Trump.
Muswada huo una lengo la kumpa Donald Trump miaka mingine 4 akishamaliza muda wake wa Urais 2028.
Ndio kusema Marekani nako kuna wabunge machawa kama kina Ally Kessy, Deo Sanga na Juma Nkamia?
========================================================
Rep. Andy Ogles (R-Tenn.) proposed an amendment to the U.S. Constitution that would allow President Trump to serve a third term in the White House so that the country “can sustain the bold leadership our nation so desperately needs.”
Like other U.S. presidents, Trump is barred from running for a third White House term by the 22nd Amendment to the Constitution.
“President Trump’s decisive leadership stands in stark contrast to the chaos, suffering, and economic decline Americans have endured over the past four years,” Ogles said in a Thursday statement. “He has proven himself to be the only figure in modern history capable of reversing our nation’s decay and restoring America to greatness, and he must be given the time necessary to accomplish that goal.”
Trump floated the prospect of running for a third term in a joke to House GOP lawmakers during a meeting in Washington before the conference had internal leadership elections.
Source: The Hill
Wazo lako Ni zuri Sana hasa ukizingatia usaili wa mgombea ambao hufanywa kwa njia ya maneno mbali na vitendo hali inayopelekea kuwapata viongozi mahiri wa maongezi mbali na utendaji.Mwisho wa siku wengi wetu tutakuja kukubaliana pamoja kuwa DEMOKRASIA ni mfumo uliowekwa mahsusi na wamagharibi ili kutuwekea mapandikizi yao ili kuendeleza ukoloni mamboleohuku AFRIKA na dunia ya tatu kwa ujumla.
Watu wote wanaweza kuwa wanasiasa ila sio kila mwanasiasa anaweza kuwa kiongozi bora. Waliolitambua hilo kama China, Rusia, etc wamewakumbatia viongozi wao wanaowapeleka mbele bila kutumia huu mfumo na maendeleo yanaonekana.
Imefikia mahali Afrika tuje na/au turudie mifumo yetu ya kiuongozi kuliko kupoteza mabilioni ya pesa, muda na wakati mwingine kuchochea vurugu hadi vifo kila baada ya miaka 4/5 kwa ujinga ule ule tu.
Kwenye vitabu vitakatifu, viongozi walikuwa wanateuliwa na Muumba halafu kizazi kinakuwa na muendelezo wa kupokezana madaraka tu. Ila hawakuwa na mfumo wa demokrasia kama ambavyo marekani na dada zake wametuletea.Wazo lako Ni zuri Sana hasa ukizingatia usaili wa mgombea ambao hufanywa kwa njia ya maneno mbali na vitendo hali inayopelekea kuwapata viongozi mahiri wa maongezi mbali na utendaji.
Lkn shida nikwamba siasa imeanza zamani za biblia na upande wangu huwa nahisi imetoka kwa Mungu kabisa
Hapana demokrasia ilikuwepo kumbuka kitabu samweli watu walikataa Mungu asiwaongoze Bali wanataka mtawala wanaemtaka ili wawe Kama mataifa mengine,hiyo inamaanisha hata mataifa mengine yalikuwa na mfumo huuKwenye vitabu vitakatifu, viongozi walikuwa wanateuliwa na Muumba halafu kizazi kinakuwa na muendelezo wa kupokezana madaraka tu. Ila hawakuwa na mfumo wa demokrasia kama ambavyo marekani na dada zake wametuletea.