Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Huko kwenye jimbo la Georgia nchini Marekani, mtoto wa miaka 14, Colin Gray alivamia shule aliyokuwa anasoma ya kuitwa Apalachee High School.
Mtoto huyo ambaye insadakika kuwa alichukua bunduki ya baba yake alifanya unyama huo shuleni hapo na aliweza kuua walimu wawili na wanafunzi wawili.
Kufikia sasa, Colin Gray amekamatwa na anashtakiwa kwa makosa manne na anatajiwa kushtakiwa kama mtu mzima kulingana na sheria za Georgia.
Baba yake pia amekamatwa muda mfupi uliopita na atashtakiwa kwa uzembe uliosababisha mwanae kuweza kutumia silaha yake na kufanya unyama huo.
Kwa mwaka 2024 pekee, kufikia sasa kuna watu takriban 527 wameuawa kutokana na mass shootings huko nchini Marekani
Soma pia: Urusi: Mtu mwenye silaha avamia shule, aua watu 6 na kujeruhi 20
Source: CNN