Haya matukio yapo kimkakati zaidi na yanakuwa staged.
Kumbuka serikali ya Marekani ina kampeni ya gun control, sasa ili wafanikishe ni lazima watengeneze matukio kama haya ili kuzidisha hofu kwa wananchi na kupelekea kupitisha sheria ya Gun Control....
PROBLEM - REACTION - SOLUTION
Tatizo ni nyie , huyo angekuwa muislamu basi angetajwa ni utambulisho wa dini yake .Fuatilia hata maandamano akiwepo muislamu basi utasikia waislamu wanaleta vurugu .Not everything is about religion man
Namfahamu vyema, ni conspiracy theoristMkuu, unamjua Alex Jones?
Junior kalitibua.Huko kwenye jimbo la Georgia nchini Marekani, mtoto wa miaka 14, Colin Gray alivamia shule aliyokuwa anasoma ya kuitwa Apalachee High School.
Mtoto huyo ambaye insadakika kuwa alichukua bunduki ya baba yake alifanya unyama huo shuleni hapo na aliweza kuua walimu wawili na wanafunzi wawili.
Kufikia sasa, Colin Gray amekamatwa na anashtakiwa kwa makosa manne na anatajiwa kushtakiwa kama mtu mzima kulingana na sheria za Georgia.
Baba yake pia amekamatwa muda mfupi uliopita na atashtakiwa kwa uzembe uliosababisha mwanae kuweza kutumia silaha yake na kufanya unyama huo.
Kwa mwaka 2024 pekee, kufikia sasa kuna watu takriban 527 wameuawa kutokana na mass shootings huko nchini Marekani
Soma pia: Urusi: Mtu mwenye silaha avamia shule, aua watu 6 na kujeruhi 20
Source: CNN
Nikisikia matukio kama haya huko Marekani ninapenda sana, hasa wakiuawa weupe kama hivi.
Na uzuri kwa sheria yao, hakuna adhabu zaidi ya kwenda jela miezi kadhaa. Full democracy
Tatizo ni nyie , huyo angekuwa muislamu basi angetajwa ni utambulisho wa dini yake .Fuatilia hata maandamano akiwepo muislamu basi utasikia waislamu wanaleta vurugu .
Niko hapa sijawahi kusikia a christian man zaidi utasikia muslim.
Sio matatizo ya akili tu,..bali pia malezi mabovu ya kudekezwa,.....Hiyo nchi ina watu wenye matatizo ya akili wengi sana halafu wanamiliki silaha
Sasa kama aliyeripoti hajui huyo mtoto ni dini gani ungetaka kichwa cha habari kiandikweje? Maana kwa Ulaya na Marekani hata kama mtu haamini kwa Mungu yupo unaweza kukuta anatumia jina lilelile kama wakati aliyokuwa aliamini. Mfano mzuri ni Christopher Hitchens and Richard Dawkins - wote wawili ni atheists. Christopher ameshafariki.Angekuwa na jinsa la kiislamu , ungesikia A 14-year muslim boy 😀 😀 😀 .Hapo hakuna ubini wa dini yake mpaka awe muislamun.
Mzungu ni race hata black wakifanya marekani ni wanajulikana kutokana na race yao ...Sio Marekani tu dunia nzima waislamu wanajulikana kwa identity yao .Thats because, Marekani watu wengi ni wakristo and hata their civilization and culture ina Christian values.
Muslims ni only one percent, kwa hiyo wakifanya kitu media inakuwa ni rahisi kuidentify, because they are a minority.
Assume hapa tanzania atokee Mzungu aanze kuua watu, media zitareport hiyo story na neno mzungu litakuwepo kwenye kichwa cha habari. Its just common sense.
Ndio maana nakuambia shule muhimu , wanaangalia jina soma tena ndio uandike .!Sasa kama aliyeripoti hajui huyo mtoto ni dini gani ungetaka kichwa cha habari kiandikweje? Maana kwa Ulaya na Marekani hata kama mtu haamini kwa Mungu yupo unaweza kukuta anatumia jina lilelile kama wakati aliyokuwa aliamini. Mfano mzuri ni Christopher Hitchens and Richard Dawkins - wote wawili ni atheists. Christopher ameshafariki.
Na sinema za ukatili na mauaji plus drugs zimeharibu akili za wengiSio matatizo ya akili tu,..bali pia malezi mabovu ya kudekezwa,.....
Shida ya Marekani iko kwenye katiba yao, na wengi kwenye majimbo hawataki silaha kuondolewa sababu wanasema ni self defemceNiliona Letitia James wa New York alikuwa anajaribu kufanya crackdown ya NRA kuanzia especially its leader Wayne La Pierre. Sijui aliishia wapi
SaddistNikisikia matukio kama haya huko Marekani ninapenda sana, hasa wakiuawa weupe kama hivi.
Na uzuri kwa sheria yao, hakuna adhabu zaidi ya kwenda jela miezi kadhaa. Full democracy
Mtoto akililia wembe mpeSio matatizo ya akili tu,..bali pia malezi mabovu ya kudekezwa,.....
Wanafata mafunzo ya roll model wao Paulo, alikuwa mchinjaji mkubwa kule Rome. Ghafla akaota Shetan eti kapewa utume na Yesu. Yesu nani kwani mpa ampe utume, Yesu mwenyewe kapewa utume na Mungu vipi yeye awape utume wengine 😄Huko kwenye jimbo la Georgia nchini Marekani, mtoto wa miaka 14, Colin Gray alivamia shule aliyokuwa anasoma ya kuitwa Apalachee High School.
Mtoto huyo ambaye insadakika kuwa alichukua bunduki ya baba yake alifanya unyama huo shuleni hapo na aliweza kuua walimu wawili na wanafunzi wawili.
Kufikia sasa, Colin Gray amekamatwa na anashtakiwa kwa makosa manne na anatajiwa kushtakiwa kama mtu mzima kulingana na sheria za Georgia.
Baba yake pia amekamatwa muda mfupi uliopita na atashtakiwa kwa uzembe uliosababisha mwanae kuweza kutumia silaha yake na kufanya unyama huo.
Kwa mwaka 2024 pekee, kufikia sasa kuna watu takriban 527 wameuawa kutokana na mass shootings huko nchini Marekani
Soma pia: Urusi: Mtu mwenye silaha avamia shule, aua watu 6 na kujeruhi 20
Source: CNN
Sahihi kabisa, pia vipo vitabu viliandika kuhusu hayo tangu miaka ya zamani kabisa kabla hata Alex na mimi hatujazaliwa.Ana theory kama ya kwako kuhusu mass shootings. Theory zenu zinaendana
masuala ya watoto wape uhuru, sijui watoto sijui nini ndio haya. Nikisoma baadhi ya comments za wamarekani naona akili imeanza kuwakaa sawa kuhusu malezi yao na mtazamo wao wa uhuru uliopita kiasi ambavyo umetengeneza jamii moja inayoenda kuligeuza taifa kuwa la ajabu.Huko kwenye jimbo la Georgia nchini Marekani, mtoto wa miaka 14, Colin Gray alivamia shule aliyokuwa anasoma ya kuitwa Apalachee High School.