Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi

Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi

Ndugu yangu kuishi kwa kumtegemea mchina, Mrusi, Korea ni majanga. Jamaa kanyofolewa washirika wake wamebadikia kutoa matamko yaliyo tupu. ( empty set)
 
Huyu washamalizana naye. Next ni hayatoullah wa kike mke wa mvuvi wa kasa pale Nungwi.
1772299043007.jpg
 
Ilikua zaman sio sasa, karne hii lazima uchague upande mfano wa wamarekani na genge lake ama upande wa china na genge lake
Tuendelee kuwategemea wachina, Iran inapigwa, Oman kuna moto Saudia kuna moto yaani kwa wajomba wote kuna moto sasa mama ataenda wapi kujificha, Afghanistan?
 
Tuendelee kuwategemea wachina, Iran inapigwa, Oman kuna moto Saudia kuna moto yaani kwa wajomba wote kuna moto sasa mama ataenda wapi kujificha, Afghanistan?
tuendelee kuwategemea marekani mkuu, si umewaona dubai, bahrain, ukraine .. tuendelee kuwashikilia wamarekan mkuu
 
Yaani jamaa wanakukamata kama kuku wakiamua. Na wakiona you are not worth the trouble wanakubamizia hapohapo kwako na kombora.
 
Back
Top Bottom