Siku zote inafahamika duniani kote kwamba muafaka wa jambo lolote ni mazungumzo tu,lakini wakati mwingine mazungumzo hayafanyiki mpaka ukijiridhisha kumbe huyu ni mkubwa mwenzangu,ndio heshima inachukua mkondo wakeBinadamu tuna mambo ya ajabu sana. Sasa yote hayo ya Trump halafu wanayamaliza kwa maongezi?!
Kwanini Trump hakushinikiza MAONGEZI KWANZA?! Vita siyo solution ya kila kitu!
Watu wamekufa bure kisa ujinga wa orange man na genge lake!
Mjinga KABISA KABISA KABISA huyu Trump
Japo siafiki kipengele cha Iran kuzuiliwa kumiliki nyuklia ila sioni ni kwa namna gani Irani angekubali kusitisha kutengeneza au kununua nyuklia bila hii vita kutokea.Binadamu tuna mambo ya ajabu sana. Sasa yote hayo ya Trump halafu wanayamaliza kwa maongezi?!
Kwanini Trump hakushinikiza MAONGEZI KWANZA?! Vita siyo solution ya kila kitu!
Watu wamekufa bure kisa ujinga wa orange man na genge lake!
Mjinga KABISA KABISA KABISA huyu Trump
Yaani USA ashinikize maongezi?? Alifanya Test ameona ugumu so ndo ikaja maongeziBinadamu tuna mambo ya ajabu sana. Sasa yote hayo ya Trump halafu wanayamaliza kwa maongezi?!
Kwanini Trump hakushinikiza MAONGEZI KWANZA?! Vita siyo solution ya kila kitu!
Watu wamekufa bure kisa ujinga wa orange man na genge lake!
Mjinga KABISA KABISA KABISA huyu Trump
Mkubwa mwenzake mtu kafyeka top leaders wako kakutia hasara ya $300b afu unasema wako sawa, mtu anatumia aircraft carrier na submarine kukubonda, anakupiga naval blockade na unaatuliaSiku zote inafahamika duniani kote kwamba muafaka wa jambo lolote ni mazungumzo tu,lakini wakati mwingine mazungumzo hayafanyiki mpaka ukijiridhisha kumbe huyu ni mkubwa mwenzangu,ndio heshima inachukua mkondo wake
Sasa Trump baada ya kujiridhisha kwamba Iran ni mkubwa mwenzangu ndio wanakaa Meza moja sasa
Mkuu,unadhani Iran wamesitisha mpango wao wa Nyuklia kisa hii vita? Wao kwanza huwa wanasema mpango wao ni amani ingawa ndo hivyo uranium imesharutubishwa kwa kiwango cha juu. Lakini kusitisha mpango wao wa Nyuklia mimi hapo nina wasiwasiJapo siafiki kipengele cha Iran kuzuiliwa kumiliki nyuklia ila sioni ni kwa namna gani Irani angekubali kusitisha kutengeneza au kununua nyuklia bila hii vita kutokea.
Nafikiri somo limeeleweka kwa pande zote mbili. Siku nyingine akipata wazo la kumshambulia Iran lazima ajiulize mara mbili.
Kama ungekuwa wewe sio msukule wa Marekani au kilaza ungejua kuwa Marekani hii vita ameshindwaNaona kobazi wamelegea, hakuna nchi kiburi mbele ya US.
Marekani na washirika wake wamepata hasara kiasi gani,au hukupata wazo la kuhesabu?..lengo ilikua regime change na nuclear program ife,wamefikia?Mkubwa mwenzake mtu kafyeka top leaders wako kakutia hasara ya $300b afu unasema wako sawa, mtu anatumia aircraft carrier na submarine kukubonda, anakupiga naval blockade na unaatulia
Trump, kalazimishwa kufanya haya marengo yake ilikuwa kuingusha serikali ya Iran na kuweka kibaraka wake.Binadamu tuna mambo ya ajabu sana. Sasa yote hayo ya Trump halafu wanayamaliza kwa maongezi?!
Kwanini Trump hakushinikiza MAONGEZI KWANZA?! Vita siyo solution ya kila kitu!
Watu wamekufa bure kisa ujinga wa orange man na genge lake!
Mjinga KABISA KABISA KABISA huyu Trump
Marekani na washirika wake wamepata hasara kiasi gani,au hukupata wazo la kuhesabu?..lengo ilikua regime change na nuclear program ife,wamefikia?
UK,France, Germany, Italy wanaiondolea vikwazo Iran Ili wapate mafuta, GCC countries zimeihonga Iran $12+b, USA ataondoa vikwazo,atairudishia Iran mali/pesa zake na bado Iran itaendelea na nuclear program
Fatwa ishatolewa na kiongozi wa dini kwamba Nyuklia ni haramu hawana mpango wa Silaha za Nyuklia na hata hio Nyuklia Yao ya sasa haijafikia uwezo wa kutengeneza Bomu, miaka yote Iran anakaguliwa na hakuna ushahidi wowote Wana hizo Silaha.Mkuu,unadhani Iran wamesitisha mpango wao wa Nyuklia kisa hii vita? Wao kwanza huwa wanasema mpango wao ni amani ingawa ndo hivyo uranium imesharutubishwa kwa kiwango cha juu. Lakini kusitisha mpango wao wa Nyuklia mimi hapo nina wasiwasi