Kama wewe unawaona Iran wana ubavu washauri tu wakatae mazungumzo ili cha mtema kuni wakipate!!!Kuipiga tena,au kupigana?..
Hilo mbona linajulikana, baada ya Iran kufumua ulinzi wa marekani na Israel mashariki ya kati na kuwafanya wapigane jicho moja halioni,super power akaomba mazungumzo feki kupitia Pakistan Ili wajipange,wakapeleka askari na silaha lukuki mashariki ya kati,jumatatu vita vitaanza upya
Unafikiri kila mtu hana akili kama wewe?Kama wewe unawaona Iran wana ubavu washauri tu wakatae mazungumzo ili cha mtema kuni wakipate!!!
Huyu na republicans wajiandae kuangushwa kwenye primaries. Na baada ya anguko tusishangae akawa impeached kwa epstein files.Hii vita huenda ikawa janga kwa chama cha Republic kama Trump hatapata makubaliano na Iran yatakayoonekana kama ushindi wa Marekani.
zitto junior Kichuguu
Mmekua mkitoa vitisho toka mwanzo, unataka tu nchi ikivamiwa ikubali aisee huo ujinga labda mfanye Gaza huko ambako hakuna jeshi!! Israel and US cannot bully anyone.Kama wewe unawaona Iran wana ubavu washauri tu wakatae mazungumzo ili cha mtema kuni wakipate!!!
Gaidi ni US wanaovamia nchi za watu kwa kisingizio cha demokrasia. Cha ajabu wanasema wanakomboa wairan huku wanawalipulia madaraja na shule!! Which according to international law are war crimes.Kupigana na magaidi kazi sana
Israil hata siku moja hawezi ng'o!!! Kuvamia nchi kama Iran akiwa peke yake sababu Hana huo uwezo. Ingawa tunaambiwa Israil Ina jeshi bora, vifaa bora na tejnolojia ya Hali ya juu.Natamani siku Israel aende mwenyewe Iran hapo ili tuone jeuri yake ikoje bila USA.
Gaidi ni US wanaovamia nchi za watu kwa kisingizio cha demokrasia. Cha ajabu wanasema wanakomboa wairan huku wanawalipulia madaraja na shule!! Which according to international law are war crimes.
Israil akishirikiana na Marekani wanaua watoto wadogo wa shule halafu wanadai wanawatetea wairani?? Unakuta mtu anawatetea anasema wanafanya sahihi?? Kumuunga mkono Trump na Natanyahu kwa hili inakuhitaji uwe na wazimu!!
Endeleeni kujipa moyo tu lakini tambueni kipondo kiko palepale tu!!Huyu na republicans wajiandae kuangushwa kwenye primaries. Na baada ya anguko tusishangae akawa impeached kwa epstein files.
This won't end well for the conservatives.
Muda utasema, Trump ataangushwa hiyo November na atakua impeached!!Endeleeni kujipa moyo tu lakini tambueni kipondo kiko palepale tu!!
Unafikiri ujio wa Democrats una unafuu gani kwa Iran? Unafikiri wenyewe wataridhia Iran wawe na silaha za nyuklia?Huyu na republicans wajiandae kuangushwa kwenye primaries. Na baada ya anguko tusishangae akawa impeached kwa epstein files.
This won't end well for the conservatives.
Hawatoridhia ila watawapa dili zuri kama la Obama. Mambo huamuliwa mezani unadhani wakiondolea Iran vikwazo na kurudisha fedha/assets zao walizozishikilia hao Iran watakomaa na bomu?Unafikiri ujio wa Democrats una unafuu gani kwa Iran? Unafikiri wenyewe wataridhia Iran wawe na silaha za nyuklia?
Cheki huyu panya hivi unajua sheria ya kumuondoa raisi wa US, unadhani Kwa sasa 2/3 ya kura za Senete itatoka wapi ??? Kwamba GOP watapoteza Senete seat Kwa 50% pole,,keep dreamingMuda utasema, Trump ataangushwa hiyo November na atakua impeached!!
Ila Iran itakuwepo kwa miaka mingine mamia. Wanaweza tulia tu kupisha mazungumzo maana wanajua Trump hatotawala milele na akiingia Democrats atawapa dili zuri kama enzi za Obama.
Siasa ni pragmatic sio utoto kama wako. Na hapa wamesimamisha vita kule Tel Aviv tayari Netanyahu kaanza kusomewa mashtaka!!
Nani kakwambia GOP wote wanamkubali Trump? Mbona allies wake wengi wanamgeuka!! Nani alijua MTG angempinga bungeni? Hii ni siasa na watu wanawaza siasa za 2029 kina Vance hawatoona shida kumtupa Trump kama wataona atawaharibia kura hasa akikutwa amehusika na Epstein files.Cheki huyu panya hivi unajua sheria ya kumuondoa raisi wa US, unadhani Kwa sasa 2/3 ya kura za Senete itatoka wapi ??? Kwamba GOP watapoteza Senete seat Kwa 50% pole,,keep dreaming