Marekani na Israel zaanza maandalizi ya kuipiga tena Ira

Wewe unabwabwaja bure tu unataka kututoa kwenye reli tu wewe Mmatumbi mwenzangu na uchaguzi wa Marekani wapi na wapi?

Safari hii Iran kayakanyaga!!! Akiufunga mlango bahari wa Hormuz Marekani nayo inafunga Bandari zote za Iran ** Hapa ni Unyama Unyama tu** mpaka kieleweke!!!
 
Uchaguzi ndio long term solution, vita si inaweza kwenda hata miezi 6 ikastop ila akishafeli uchaguzi maana yake Iran watakua free kufanya lolote milele bila hofu ya uvamizi wa Trump!!

Vita ni timing na stratejia.
 
Jidanganye kuna uwezekano mkubwa huzijui sera za Marekani wala Israel!!

Iran hata siku moja hawezi kuacha awe free afanye chochote hata hivyo wamemvumilia siku nyingi na sasa wamefikia mwisho na ndiyo maana sasa wanampiga kama ngoma na kuua viongozi wake wakuu akiwemo Gaidi Marehemu Ayatollah Ali Khamenei!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…