Marekani na Korea Kusini wamjibu Korea Kaskazini kwa kuonesha ubabe wa makombora

Marekani na Korea Kusini wamjibu Korea Kaskazini kwa kuonesha ubabe wa makombora

Wathubutu kurusha hata risasi moja kwenye kijiji hata kisicho na watu, mumuone Kiduku alivo mpenda shari

Mumemkimbia Mrusi baada ya kuwaaibisha, waarabu wa Bongo mnashida, huyu Kipanki wala hana issue zaidi ya watu wake kuishi kwa njaa, kwa sasa dunia haina balance of power, Mrusi tu ndiye tulikua tunamuogopa ila kwa alivyodhihirisha alivyo hovyo....
 
Kwanini kila wakati North Korea akijalibisha makombola yake mnabweka sanaaa na kuitisha vikao huko UN kulaani

Wapuuzi sana hawa, wanataka wao na marafiki wao ndio wamiliki silaha za thermonuclear Duniani na kuzitumia kutishia Mataifa mengine Duniani, ambayo ni dhaifu kijeshi. Sijawahi kusikia hata siku moja Merikani ikishutumu Israel kwa kumiliki silaha za nuclear wanawakingia kifua kwenye taasisi za kimataifa lakini wakati huo huo wanahakikisha maadui wa Israel na west hawafanikiwi kuunda silaha za thermonuclear - double standard.
 
Hili tunalipuuzia ila ndio fatc!! Imagine kila mwaka mnashughulika kuongeza huduma zile zile tangu uhuru kisa ongezejo la watu... lini tutatulia?

Imagine leo tunahangaika na madarasa elf 8 mwaka jana elf 12 na mwakani will be the same story!
Hatujawahi kuwa watawala, waulizwe wanaotawala.
 
Back
Top Bottom