Mumemkimbia Mrusi baada ya kuwaaibisha, waarabu wa Bongo mnashida, huyu Kipanki wala hana issue zaidi ya watu wake kuishi kwa njaa, kwa sasa dunia haina balance of power, Mrusi tu ndiye tulikua tunamuogopa ila kwa alivyodhihirisha alivyo hovyo....
Wapuuzi sana hawa, wanataka wao na marafiki wao ndio wamiliki silaha za thermonuclear Duniani na kuzitumia kutishia Mataifa mengine Duniani, ambayo ni dhaifu kijeshi. Sijawahi kusikia hata siku moja Merikani ikishutumu Israel kwa kumiliki silaha za nuclear wanawakingia kifua kwenye taasisi za kimataifa lakini wakati huo huo wanahakikisha maadui wa Israel na west hawafanikiwi kuunda silaha za thermonuclear - double standard.