passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Urusi ya wapi hiyoNi maonyesho tu; kama anataka vita, lidondokee hapo kusini; itakuwa kama Urusi inavyopata kichapo kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi ya wapi hiyoNi maonyesho tu; kama anataka vita, lidondokee hapo kusini; itakuwa kama Urusi inavyopata kichapo kwa sasa
Kuna Urusi ngapi hapa dunianiUrusi ya wapi hiyo
Sasa hivi wanaenda OdessaKuna Urusi ngapi hapa duniani
Wanakufa sanaSasa hivi wanaenda Odessa
Kufa vitani ni kawaida ila hayo majimbo ni ya Warusi milele.Wanakufa sana
Tembelea uzi wa picha, wanafumuliwa ubongo ile mbayaKufa vitani ni kawaida ila hayo majimbo ni ya Warusi milele.
Tatizo habari wanakupa waukraine wenyewe lazima waegemee kwao.Tembelea uzi wa picha, wanafumuliwa ubongo ile mbaya
Picha zinaongea vitu vingi kuliko manenoTatizo habari wanakupa waukraine wenyewe lazima waegemee kwao.