Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Marekani, Uhispania, Italia, na Ugiriki zimetangaza kufunga kwa muda balozi zao mjini Kyiv siku ya Jumatano, baada ya kuripoti " uwepo hatari kubwa ya mashambulizi ya anga nchini Ukraine."
Ubalozi ya Uhispania iliwajulisha raia wake walioko Ukraine kupitia barua pepe kuhusu kufungwa kwa ofisi hizo, ikiwasihi watafute hifadhi ili kujilinda dhidi ya mashambulizi yanayoweza kutokea, kwa mujibu wa gazeti la kila siku la Uhispania Ultima Hora.
Ubalozi wa Ugiriki ilitoa tamko ikiwasihi raia wake kuepuka safari na kubaki kwenye maeneo salama, ikieleza kuwa hatua ya kufungwa kwa ofisi hizo imetokana na "sababu za kiusalama."
Vilevile, Ubalozi wa Italia ilieleza kuwa kufunga ubalozi wake ni hatua ya tahadhari kufuatia onyo kutoka Balozi ya Marekani. Iliwasihi raia wa Italia walioko Ukraine kutafuta hifadhi karibu mara moja iwapo shambulio la anga litatokea.
Ikumbukwe kuwa, Ubalozi wa Marekani mjini Kyiv ulitangaza kufungwa kwa ofisi zake, ikieleza kuwa kuna taarifa za kiintelijensia zinaoonesha uwepo wa shambulio kubwa la anga linalotarajiwa kufanyika Novemba 20.
=================
Following the lead of the United States, Spain, Italy, and Greece have announced the temporary suspension of services at their embassies in Kyiv on Wednesday, citing an "increased risk of airstrikes throughout Ukraine."
Spain's embassy informed its nationals in Ukraine via email about the closure, urging them to seek shelter to protect themselves from potential attacks, according to the Spanish daily Ultima Hora.
The Greek Embassy issued a statement advising its citizens to avoid travel and remain in safe spaces, attributing the closure to "security reasons."
Similarly, the Italian Embassy called the suspension a precautionary measure in response to warnings from the US Embassy.
It advised Italian nationals in Ukraine to immediately seek the nearest shelter in case of an airstrike. The US Embassy in Kyiv had earlier announced its closure, citing credible intelligence about a potential large-scale air attack on November 20.