Marekani na Nchi Nyingine Za Ulaya Zafunga Balozi Zake Kyiv Ukraine kwa Sababu za Kiusalama

US ameshafungua mbona? Waliufunga kwa siku moja tu.
 
Naona nia yao kubwa ni kutupa nuclear bomb
Wameishafanya majaribio sana ardhini, majini, na hata underground sehemu nyingi na sasa naona wanataka kuona watauwa wangapi

Niliangalia documentary moja inaitwa Britain's Nuclear bomb Scandal kwa kweli inatisha na kufikirisha sana kwa jinsi 🇬🇧 miaka ya 50 na 60 walivyowaathiri wanajeshi wao kwa kuwafanya Laboratory Rats huko Australia
Sasa kama mpaka leo mamia kwa mamia ya wajeda waliopelekwa kuwa majaribio mpaka leo generation ya Tatu watoto wanazaliwa wakiwa na matatizo au vifo itakuwa Ukraine na Russia?

Ila na sisi athari tutazipata tu pakiwaka
 
Yaan US hana tofauti na mtu anaekwenda kuwinda kwa kutumia MBWA. Kipindi sisi tunakua wale wenye umri mkubwa walikuwa wanapenda sana kwenda kuwinda kwa kutumia Mbwa, sasa kuna siku mbwa aliingia kwenye kichaka.

Kumbe kwenye kile kichaka kulikuwa na kiboko ambae alichelewa kurudi kwenye bwawa, sasa yule mbwa alikwenda kumchokonoa, baada ya kumshindwa alichokifanya yule mbwa ni kukimbia nakuwafuata binadamu walipo.

Ilikuwa hatari sana, maana alichokoza harafu akawaachia watu hekaheka
 
Mkuu, Vita ni inevitable as long as you bring Satan into the picture.
But pointing finger to the USA & the West as causes for all the killing going on now more or else across the globe is a faulty thinking.
Yeah! Ni fikra potofu kwani;
Je; USA & the West wapo pia huko Sudani, Congo DRC, Somalia, Nigeria kaskazini Haiti, Msumbiji n.k.?
Je; USA & the West ndo visababishi wa mauaji ya mtindo wa kuteka watu na kuwapoteza hapa Tz?
 
Tuzingatie hili 👉" Ila na sisi athari tutazipata tu pakiwaka " 👊
 
Wanaingizwa mkenge theni wanakimbiwa

Au kufunga barozi kuna maana nyingine tofauti na kuachwa solemba?
 
Wanaingizwa mkenge theni wanakimbiwa

Au kufunga barozi kuna maana nyingine tofauti na kuachwa solemba?
Kufunga balozi ni sawa na ile amri ya evacuation order inayotolewa na Israel huko Lebanon. Manake "pisheni hapo ili mtifuano utamalaki msije kulialia eti anaua hata raia wasio na hatia."
 
Kufunga balozi ni sawa na ile amri ya evacuation order inayotolewa na Israel huko Lebanon. Manake "pisheni hapo ili mtifuano utamalaki msije kulialia eti anaua hata raia wasio na hatia."
🤣🤣🤣
 
Kufunga balozi ni sawa na ile amri ya evacuation order inayotolewa na Israel huko Lebanon. Manake "pisheni hapo ili mtifuano utamalaki msije kulialia eti anaua hata raia wasio na hatia."
Kwaiyo rasmi Ukraine 🇺🇦 unaenda kua uwanja wa vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…