Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

Ngumu sana, with current selfishness Ulaya na Marekani hawawezi kuisusia Tanzania..
 
Ulaya na Marekani hawatautambua uchaguzi kama maslahi yao yatakuwa yameharibiwa au yapo hatarini.

Haya maneno mengine ni furahisha genge tu.Tujipe muda utawaona hao viongozi wa ulaya hadi kusifia wengine watasifia.
 
Acha ujinga wako hao unawasema marekani na ulaya hamna lolote rais wa burkina faso kawafukuza woote na bado yupo safi na anaijenga nchi vizuri tu wakikukataa ungana na North korea urusi china mambo yanaendelea
 
Mwaka huu Chadema wameyakanyaga!
wanahaha hadi wanatia huruma.
Ila wanapaswa wajue kuwa Lissu, Heche na Mnyika ndio walio waingiza mkenge.
 
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.


Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.


Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .


ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Na sasa sadc na AU wametukataa
 
Back
Top Bottom