Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

Ngumu sana, with current selfishness Ulaya na Marekani hawawezi kuisusia Tanzania..
 
Ulaya na Marekani hawatautambua uchaguzi kama maslahi yao yatakuwa yameharibiwa au yapo hatarini.

Haya maneno mengine ni furahisha genge tu.Tujipe muda utawaona hao viongozi wa ulaya hadi kusifia wengine watasifia.
 
Acha ujinga wako hao unawasema marekani na ulaya hamna lolote rais wa burkina faso kawafukuza woote na bado yupo safi na anaijenga nchi vizuri tu wakikukataa ungana na North korea urusi china mambo yanaendelea
 
Mwaka huu Chadema wameyakanyaga!
wanahaha hadi wanatia huruma.
Ila wanapaswa wajue kuwa Lissu, Heche na Mnyika ndio walio waingiza mkenge.
 
Na sasa sadc na AU wametukataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…