Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!



Ona punguani hili lisiloelewa chochote kuhusu mahusiano ya dunia.

DUnia ni moja, mipaka ya nchi haikupi wewe kuwa na Dunia yako.

Tanzania ikitengwa na Dunia, maisha yatakuwa kama yale ya enzi za stone age.
 
Ujamaa unaingiaje hapa! CCM ni wajamaa?

Trump, Elon Musk, Vance wote wanazituhumu nchi za EU na UK kwa kuminya demkrasia, hizo ni nchi za kijamaa?

Tunachopigania ni haki Tanzania. Itikadi za ujamaa au ubepari peleka huko.
 
Unajua shida ipo kubwa sana bajet yetu haikidhi maitaji sasa asilimia kubwa serikali inakopa kwa hao watu hata deni la taifa asilimia kubwa misaada imetoka kwa izo nchi sasa hao watu wakikata misaada kutakuwa na hali mbaya sana
Inakusanya kodi zinaenda mifukoni, zinatakatishwa kisha wanajimilikisha, wanaenda kukopa lakini wanakula na masalia yanapeleka kwenye miradi isiyokamilika. Barabara nyingi za Dar zimefumuliwa lakini hawana chanzo chochote cha kuzirudishia na hawajui watafanyaje. Mapato ya utalii yatumbukia kwenye viganja na kukwepeshwa fuko la hazina. Wanatamba wamekusanya karatasi za nguvu lakini ukiuliza tuoneshene fuko lilivyofurika wanasema ni siri kumbe ubabaishaji kama mchungaji fulani mfupi comedian ambaye anaongea siasa akimchamba mwenzie kuendesha siasa mimbarini!!
 
Mama ana wajomba wengi watatupa kila kitu tunachoitaji
 
Wengine ajira zetu zinategemea mauzo ya bidhaa zetu nchi za Ulaya na Marekani,, unataka tukale kwa mamaako,,
 
Mkuu asilimia kubwa imetoka kwenye izo nchi hata deni la taifa asilimia kubwa zimetoka kwao hatuwezi kuwakwepa mkuu lazima watuamulie wanachotaka wao
 
Dunia ya sasa ni kijiji,, huwezi kujitenga nayo,, mnatetea na visivyo stahili kutetea,
 
kuna viongozi wanamdanya maushungi sana tena sio kidogo kuwa afanye uchaguzi kinguvu then after election watayamaliza na mabeburu mambo yatakaa sawa....HICHO KITU HAMNA
 
Ona punguani hili lisiloelewa chochote kuhusu mahusiano ya dunia.

DUnia ni moja, mipaka ya nchi haikupi wewe kuwa na Dunia yako.

Tanzania ikitengwa na Dunia, maisha yatakuwa kama yale ya enzi za stone age.
Kwahiyo mtindio wako wa ubongo ndiyo umekufanya uamini kuwa ulaya na Marekani ndiyo Dunia nzima.
Umeambiwa wapi inatengwa na Dunia zaidi ya hao mapromota wa kufokoana mitaro?
Unaijua uchafu unaofanywa na hao unao waona wa maana sana chini ya kujifanya wanaipigia chapuo demokrasia huku wakiwa na secret agenda mifukoni mwao.
Umeona Demokrasia walioileta Libya baada ya kumuondoa Gadafi na ile iliyopatikana kule DRC baada ya kumuondoa Patrice Lumumba?
Amka taahira wewe
 
Ahahahahaha! Na mnaonaje muwashauri waondoe Balozi zao kabisa kabla ya Uchaguzi Mkuu ili kuonesha msisitizo? Ahahahahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…