Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) yafikia makubaliano ya 15% ya ushuru wa biashara kati yao

Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) yafikia makubaliano ya 15% ya ushuru wa biashara kati yao

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Marekani imefikia makubaliano ya awali ya kibiashara na Umoja wa Ulaya siku ya July 27,2025, ambapo imeweka ushuru wa kuagiza bidhaa kutoka EU kwa kiwango cha asilimia 15 ikiwa ni nusu ya kiwango kilichokuwa kimetishiwa awali. Hatua iliyosaidia kuepusha vita vikubwa vya kibiashara kati ya washirika hao wawili wanaochangia karibu theluthi moja ya biashara ya dunia

Rais wa Marekani, Donald Trump, na Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, walitangaza makubaliano baada ya kikao cha saa moja kilichofanikiwa kusukuma mbele makubaliano hayo yaliyokuwa yakisubiriwa kwa muda mrefu kufikiwa, kufuatia mazungumzo ya miezi kadhaa

Soma pia: Msimamo wa EU na Mexco dhidi ya Ushuru 30% wa Trump

=====

The U.S. struck a framework trade agreement with the European Union on Sunday, imposing a 15% import tariff on most EU goods - half the threatened rate - and averting a bigger trade war between the two allies that account for almost a third of global trade

U.S. President Donald Trump and European Commission President Ursula von der Leyen announced the deal at Trump's luxury golf course in western Scotland after an hour-long meeting that pushed the hard-fought deal over the line, following months of negotiations


1753682711997.png


1753682737923.png
 
Sisi hizi tarrif hazituhusu? Mbona sijasikua tukitajwa kwenye tarrif tangu zianze?
 
Back
Top Bottom