Marekani na washirika wake EU wameisaliti Ukraine

umechambua vizuri sana, Zelensky hajali wananchi wake waliomchagua na pia hana uhakika anataka nini!
 
Ukraine nchi kubwa sn km umemsikia rais wa Ukraine alisema Russians wametoka 20% ya nchi ambayo ukubwa wake sawa na uholanzi
bila kusahau asilimia 80 iliyobaki haina amani, kila siku makombora ya urusi yanapiga hii ni kuanzia na jiji kuu la kiev, lyiv, kharkiv etc
 
Urusi itachukua nchi ile yoye wasiposhituka.
Unaota dunia ya sasa sio ya Miaka ya zamani huwezi vamia nchi ya mtu ukaikalia kwa mabavu ukabaki salama
Vita itaebdelea bila kikomo
Urusi anapigana vita ya kishamba katika dunia ya wastaarabu
 
Vijihoja dhaifu na vya kitoto sana hivi.
USA UK wameenda kupigana na Afhanistan, Libya,Iraq.
Ukraine wanaiogopa Urusi kama hukubali kunywa Panadol na glass moja ya maji.
Mtajadibu kujenga Kila hoja.
 
Unaota dunia ya sasa sio ya Miaka ya zamani huwezi vamia nchi ya mtu ukaikalia kwa mabavu ukabaki salama
Vita itaebdelea bila kilimo
Urusi anapigana vita ya kishamba katika dunia ya wastaarabu
Pole mkuu, ni Kama naona maumivu yanayokupata🤣🤣🤣
 
Unaota dunia ya sasa sio ya Miaka ya zamani huwezi vamia nchi ya mtu ukaikalia kwa mabavu ukabaki salama
Vita itaebdelea bila kilimo
Urusi anapigana vita ya kishamba katika dunia ya wastaarabu

Tusubiri. Time will judge.
 
Swali la 1: Malengo ya Urusi katika huu uvamazi ni yapi? Au kwa Putin ameivamia Ukraine?

Swali la 2: Hatua gani za mafanikio Urusi imepiga kisiasa na kiuchumi kutokana na uvamizi wake?

Swali la 3: Diplomasia gani Zelenskyy angeitumia kuepusha uvamizi huu?
Jambo gani la tija Zelenskyy angefanya kuepusha uvamizi wa Putin?
Rejea kwenye swali la 1.

Swali la 4: Kama Zelenskyy alienda kinyume na wananchi wake waliomchagua kwa nini hao wananchi wake hawakushirikiana na majeshi ya Urusi kumuondoa badala yake wamesimama naye mpaka wakatu huu

Swali la 5: Unafahamu hii ni mara ya ngapi Urusi inaivamia Ukraine?
Kwa nini unafikiri Ukraine ikinyoosha mikono juu na kuomba "poo" kipindi hiki haitavamiwa tena?
Kuna faida gani Ukraine itaipata Zelenskyy akinyoosha mikono juu na kuomba poo wakati huu?

 
Unafikiri kwa nini wananchi wa Ukraine hawajapingana na kiongozi wao mpaka sasa kwenye huu uvamizi wa Putin?

Kwa nini unafikiri wananchi wa Ukraine wanapaswa kukubali uvamizi wa Putin kwenye nchi yao?
Wananchi wa Ukraine wanapaswa kuwa na sauti Moja kupingana na kiongozi wao kuhusiana na vita dhidi ya Urusi!

Ama sivyo taifa lao linaenda kuwa taifa la ajabu duniani!
 
Unafikiri kwa nini wananchi wa Ukraine hawajapingana na kiongozi wao mpaka sasa kwenye huu uvamizi wa Putin?

Kwa nini unafikiri wananchi wa Ukraine wanapaswa kukubali uvamizi wa Putin kwenye nchi yao?
Angekuwa muwazi kwenye hii vita asingefunga vyama vya upinzani na kuvizuia kufanya kazi au kutoa Naomi Yao kuvifungia vyama vya upinzani, kufunga wanaopinga hii vita na kuwaita wasaliti, kulishikilia Bunge Ayo yote ni kuonesha kwamba maamuzi alichukua kutoka Kwa watu wachache ukrein alikuwa anaweza kuzuia hii vita Kwa asilimia 90 kidiplomasia Ila naona alichukua njia tofauti kwakuisi atapata msaada kamilifu kutoka nje na saivi hawezi kurudi nyuma maana akitaka majadiliano vita akakoma wananchi hawatamuacha madarakani
 
Russia walikuwa wana madai gani kwa Ukraine ambayo Zelenskyy aliyakataa na akasababisha huu uvamizi kutokea?
 
For the first time since the invasion of Ukraine, Switzerland has imported gold from Russia.
 
Kwa washabiki wa Urusi, kuna kitu ambacho wanapaswa wakielewa, vita ni uchumi nchi yenye uchumi mkubwa ndio wenye uwezo wa kupigana vita kwa muda mrefu. Vita vina gharama kubwa sana mnakumbuka vita vya kagera vilivyosambaratisha uchumi wa TZ hadi leo hatujaweza kurudi kwenye uchumi ule kabla ya vita. Nakumbuka nchi wahisani wa TZ nyakati zile walimwambia Mwalimu usipigane vita hii ukishamtoa adui kwenye mipaka ya nchi yako ishia hapo, uchumi wako hauta weza. Turudi kwa Urusi, uchumi wa Urusi sio imara kihivyo kama watu wanavyofikiria kwani hawapo kwenye top 5 chumi kubwa duniani inazidiwa hata na India kwa taarifa tu. Ila kwa nguvu za kivita could be ranked second. But ukubwa wa jeshi sio hoja bali ukubwa wa uchumi. Nchi hata ingekuwa kubwa hupenda quick win in any war and not prolonged war. Rusia by any means wanted that, very unfortunately halikuwezekena wakihisi kupata uungwaji mkono tokea kwa waukrain halikuwa hivyo. Wali-underrate Waukrain pamoja na kuwa na silaha duni kumbuka vita ni pamoja na morali ya wananchi na wanajeshi na sii silaha peke yake. Ukrain sio Chechya Ukrain ni taifa kubwa lenye watu wengi, quick win haikuwa possible. Pili vikwazo huwa havitake tall kwa siku mbili au miezi miwili Urusi wataona uchungu as we go on. Morali ya wapiganaji wa urusi ni tatizo ambalo huwawezi kulisema. West wanalijua hili ndio maana wanataka kurefusha vita hii. Urusi 120,000,000 people wanagombana na watu nearly 1 billion people nikimaanisha NATO, EU, Autralia, Japan wengine. Mmeona wenyewe China hawata dhubutu kujiingiza kwenye hii vita wakiogopa vikwazo vya west. China can never stand without West period. Alieshika TURUFU ni West. Wameweza kusitisha quick win, sasa wanapeleka heavier weapons let us wait before running into conclusion. Tafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…