Marekani naye ameibuka na tamko dhidi ya Tanzania

Status
Not open for further replies.
Kama la kwanza ni mtazamo kwanini ushoga usiwe mtazamo nao?

Teh teh teh tihiii
mdiyo nimesema hivyo, wenye MTAZAMO wa kuwa washoga ni mzuri, lazima wataona NCHI inaenda kusiko. lkn kwa sisi tunaopinga ushoga waziwazi tunaona nchi yetu inaenda sawa bin sawia.

ona hapo wake wa marais wa NATO walivyojipanga. na yule mwenye tai hayupo kimakosa bali ni mke wa rais wa Luxemburg.
kweli dunia imejichokea.

 
Kinachoskitisha bado hatuoni kama hii nchi inapoelekea sio kuzuri.

Ninakubaliana nawe. Ila ni lazima tujue kuwa hawa wazungu hawajali mambo ya mtanzania kamwe, na hicho ndicho kinaniudhi. Yaani kuna mambo mengi sana ya kipuzi ambayo serikali ya CCM imefanya lakini hawa wazungu hawajajali na wametoa tu tamko moja moja. Lakini ilipofika kuwa mashoga wameguzwa, wamejifanya kutoa tamko kila mahali. Hawa watu hujali tu mashoga na si watanzania. Ikiwa Pombe atatoa amri kuwa mashoga walindwe, kisha baadaye awatese watanzania maradufu, watamsifu sana. Ni lazima wapinzani wa Magufuli wajue wako peke yao katika kupigania taifa bora. Nawatakia mema.
 
Viranja wa Dunia. Bila America tungekuwa na World war 5 sahii. USA ndio inasmamia haki na uhuru wa kibinadamu kote duniani. Mkianza kujifanya kama manyani they take care of you, uwe wewe ni mchina,Muafrika ama We ni Mzungu kutoka Europe ama America wote tuko china Uongozi wa US kama World leader through the UN.
Kwani marekani ni nani?!!
 

Kati nyani na binaadamu anayeliwa mkundv nani ni mstaarabu duniani hapa!!!!

Trump mwenyewe anajua usenge haufai,ndio maana hakubaliani nao.
 

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kuna wenzako mazuzu,wanadhani mzungu anawatakia mema baada ya hili saga.

Jitahidi kuwaelimisha mkuu.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kuna wenzako mazuzu,wanadhani mzungu anawatakia mema baada ya hili saga.

Jitahidi kuwaelimisha mkuu.
Hakuna siku mzungu hutakia mema Mwafrika, lakini kwa vile anawalisha na kuwalea kwa misaada yake, hivyo inabidi kuwa makini unapomchokonoa.
Kuna nchi nyingi tu mashoga hufungwa jela na kupigwa lakini hufanyika kimya kimya, sasa nyie mnapayuka bila mpango mnaishia kulishwa kibano kwa umaskini wenu.
 
Ni mtazamo tu though ndio maana wengine pia mtazamo wetu,ushoga ukataliwe.
Kuna pokuwepo na mitazamo kinzani lazima tuweke miongozo.

Tuheshimu miongozo tulioisaini wenyewe.
 
Lakini utakubaliana nami double standard ya mmarekani bado sio chochote kwenye kuwatetea wanaonyanyaswa.

Naweza kubaliana nawe maelezo yako.
 

Bado unaendelea kuandika mtazamo wako.

Dunia iliona kila mmoja anamtazamo wake kwenye kila jambo ndiyo maana zikawepo sheria zinazotoa miongozo.

Unapozivunja lazima uwajibishwe au utengue kauli kama tulivyotengua sisi majuzi hapo.

Na ukishaanza kutengua tengua kauli unaonekana mwehu maana ulizisaini mwenyewe.
 
Nimesema hapa tena na tena...this is dictatorship loading...watch this space
 
Tutakula hata mawe ila kwa suala la Ushoga hatulikubali
 
Wakenya waoga sana, ndio maana mambo yakiwa magumu mnakimbia badala kuyatatua. Sasa hili tamko ni la kiliogopa, hata hao wamarekani wanajuwa kuna sheria za nchi zinazotakiwa kufuatwa
Uhuru Kenyatta alimwambia Obama to his face, homosexuality is a non-issue in Kenya and our culture does not condone it. Kenyans are assertive yet unlike Tanzanians hatufanyi mambo kiubabeubabe - we think first. Sio ninyi mnakurupuka na kujifanya wababe alafu mwishowe mnaishia kuomba misamaha na kujiaibisha.
 
Nyinyi Kenya endeleeni kufunuliwa marinda sisi watz hatutaki kama misaada yao waondoke nayo tutakula majani lakini ushoga hatutaki. Wamarekani wanatujua tangu enzi ya Baba wa Taifa Nyerere walituletea vya kuleta eti tuwaunge mkono sisi tukasema sisi hatuunge mkono yoyote! Lakini Kenya kwa kujipendekeza kwa hao wazungu hamjambo!!
 
WEWE UNATEMBELEA MAGARI YA KIFAHARI NA KUTAFUNA KODI ZA WANANCHI KIULAINI NDIO MAANA UNAROPOKA HAPO ETI TUTAKULA HATA MAJANI!!!!

MISAADA IKIKATWA KWANI WEWE UTAATHIRIKA KITU?

MKUU, WEWE SI UPO ULE UPANDE WA WANAOKULA KUKU KWA MRIJA?
 
Uhuru anachaguwa tu mahali pakusema mambo ambayo hata yeye anajua hayatekelezeki. Ukisema mbele ya Obama unategemea atakujibu nini? Yeye sio gay, ukisema mbele ya camera za CNN without any representative from gay community, unataka CNN waseme nini. Mpeleke kigaangoni kwenye majukwaa ya gay right ndio utapata picha kamili

Having said that, mpaka April 2018 Kenya ilikuwa inavunja sheria zote za kimataifa za haki za binadamu kwa kukamata mashoga na kuwapima kwa kuwaingizia vitu kwenye makalio. Hiyo practice haijawahi kutumika Tanzania mpaka Makonda alipokuja na sheria zake za mifukoni.
 
Ukigusa mashoga umegusa mboni za macho ya wazungu
 
WEWE UNATEMBELEA MAGARI YA KIFAHARI NA KUTAFUNA KODI ZA WANANCHI KIULAINI NDIO MAANA UNAROPOKA HAPO ETI TUTAKULA HATA MAJANI!!!!

MISAADA IKIKATWA KWANI WEWE UTAATHIRIKA KITU?

MKUU, WEWE SI UPO ULE UPANDE WA WANAOKULA KUKU KWA MRIJA?
Ukiwa unawaza misaada sana kutoka kwa wazungu hutaendelea milele
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…