Marekani naye ameibuka na tamko dhidi ya Tanzania

Status
Not open for further replies.
USA ndio inasmamia haki na uhuru wa kibinadamu kote duniani.
Bruh....stop that right there. America doesn't care for neither justice nor freedom

But this stupidity in African countries of persecuting adults just because they wanna fu.ck and express their love differently is baffling
 
Reactions: Oii
Kwa huo upuuzi uliouandika hapo juu hatari hafu ukute wewe ndo msomi wa Kenya.

Kwa upuuzi huo ndo napata picha kamili ya upuuzi wa elimu ya Kenya ilivyo.
 
Ila Kenya tunaonyesha ubabe Kadri ya uwezo wetu. Hilo ndilo nataka uelewe.

Swali kwako ni, mbona ujifanye mbabe alafu uanze kubabaika baadaye na kuomba msamaha? Aibu tupu. Kama wewe ni mbabe, endelea na ubabe wako na usiwe ombaomba. Sasa wewe mwenyewe maskini wa kutupwa alafu unajaribu kuwaonyesha wale wale wanaokulisha ubabe.
 
Majitu hayajifunzi kabisa?wakati wa baba wa Taiga,jeshi lilipo hasi,mnakumbuka kilichomuokoa Mwalimu Nyerere?sio msimamo wake dhidi ya ubeberu,sio Sera za ujamaa,aliwaomba wazungu hao hao,wakoroni waje wamsaidie,
Sisi hatuna uwezo wa kupambana na hawa wazungu,kiuchumi,Cuba ilijaribu,lakini mpaka karne 21,bado walitafuta uhusiano na USA,baada ya kuona mambo hayaendi,sasa HV hatupo kwenye vita baridi,hivi wazungu hawa wakigoma kununua pareto yetu,mkonge wetu,kahawa yetu,pamba yetu,mtayapereka wapi haya mazao?tuache ujinga,ushoga ni minor issue,tuachane nayo
 
Sasa akitamka inatuathiri nini sisi? Tumeshapata ushoga mbona majirani mnatulazimisha
 
Sasa hawa jamaa wanatoaje matamko kwa kiingereza, inamana hawajui sie kiingereza hatujui?

Wanatupa tabu kutafuta wakalimani! Next time watoage matamko kwa kiswahili!!
 
Huu ubabe ni wa midomoni tu? Ile sinema ya ushoga imeishia wapi bado imekatazwa? Bora hata Uganda walitishia kidogo mpaka dunia ikasimama lakini Kenya mpaka mnaitangazia dunia kwa sinema. Ukisema Tanzania imeomba msamaa, imeomba msamaa kwa kufuta sheria inayokataza ushoga? Hakuna watu anakesi mahakamani?
 
Labda hujui kusoma ama huelewi unachosoma. Walio na ubabe ni Watanzania. Kenya tunafanya vitu practical and within our might. Nyie hamna chochote cha kujulikana nacho duniani ndio maana mnashinda mkitunisha vimisuli vilivyodhoofika alafu baadaye mnarudi kujiaibisha kwa kuvikana mnapotishiwa kidogo. Sisi we have nothing to prove, we just do what we think is right for us.
 
Hii ndio definition ya kuongea pumba, kwani Sonko akiongea ndio Kenya nzima imeongea. Juzi tu, mumemualika Quest na akawahubiria ushoga kwenye radio, nchi zima ikakaa na kumsikiliza. Kweli si kweli.
 
Hii ndio definition ya kuongea pumba, kwani Sonko akiongea ndio Kenya nzima imeongea. Juzi tu, mumemualika Quest na akawahubiria ushoga kwenye radio, nchi zima ikakaa na kumsikiliza. Kweli si kweli.
.....just out of curiosity, are you really 50? Honestly, your reasoning is of a 5 year old.
 
.....just out of curiosity, are you really 50? Honestly, your reasoning is of a 5 year old.
Off topic, anyones age inakuhusu nini? umeulizwa swali unatafuta mlango wa kutoke. Honestly speaking, Wakenya wa hapa JF mnaitia abibu nchi yenu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…