Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok
Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa
Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka kuona Mataifa mengine yakiendelea kuliko wao na inapotokea hivyo basi linafanya dhuluma ya unyang'anyi ili kurudisha maendeleo hayo ndani ya mikono yake
TikTok imakumbwa na kadhia hii hivi karibuni baada ya mtandao huo kuwa maarufu kuliko mitandao yote ya kijamii iliyoundwa Marekani
Marekani ilipoona TikTok inatingisha dunia ikaja na sharti la kulazimisha kampuni hiyo inunuliwe na Marekani na kama haitaridhia basi itasitishiwa huduma zake Marekani
Wamarekani wengi hasa contents creators wamelaani kitendo hicho kwa nguvu zote na kudai kuwa hii ni dhuluma kubwa kuwahi kutokea kwani madhara yake makubwa yanawakumba contents creators ambao wamekuwa wakilipwa na TikTok
Dunia kwa ujumla imekuwa ikitumia mitandao ya Marekani kwa miaka mingi sana bila kuwawekea vikwazo jambo ambalo linawapa fahari ya kuwa wanaweza kufanya lolote na kutawala dunia hii watakavyo
Nadhani ni muda sahihi wa nchi kujifunza kujitegemea na kumiliki bidhaa zake wenyewe ili kuepuka dhuluma na unyanyasaji wa hawa wakoloni toka enzi za biashara ya utumwa
Dunia ichukue hatua ya kuacha kutumia mitandao ya kijamii iliyoundwa Marekani ili wajifunze utu kwasababu wamekuwa ni wanyanyasaji wakubwa na wanaolazimisha watu waishi kama wanavyotaka wao