Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wazungu wakishamaliza kukutumia hutafuta mbinu za kukumaliza... Asilimia 90 ya black Americans wenye vipawa na pesa ndefu wameishia Pabaya sana.... Mayweather amakinike.... Hawamgusi kwasasa kwakuwa bado wana faida naye
Jeffrey Epstein je? Huyu ni mzungu na sasa hivi ananyea debe kwa tuhuma kama hizo hizo za Robert Kelly.
Hapo niaje?
Ushafika Marekani? Ushaishi Marekani?
Unawajua Wamarekani weusi wangapi wenye mafanikio?
Ni ufinyu wa kifikra kutumia race card kila mahali. Huyu jamaa amekuwa akituhumiwa michezo michafu kwa muda mrefu sasa. Hii haina rangi wala status.
Isitoshe mfumo wa haki nchini humu marekani haupo kuwalinda watu weusi hata kana tuhuma ni za uwongo
I wish huyo mlengwa angekusikia. Kwa sasa anachowaza yeye ni show offs tu.
Huyu ganja ilimsaidia sana, kuwapa angalau haki, watu weusi.Enzi zake 2pac kipindi anapitia mashtaka yake aliieleza wazi mahakama ....jaji akiwa mtu mweupe anasema tangu umeeanza kunisomea mashtaka huniangalii machoni ni wazi hutanipa haki yangu,usipoteze muda wako kusikiliza utetezi wewe ni hukumu tu, na simpigii goti binadamu lakini Mungu tuView attachment 1151810
Mbona Jayz, Oprah Winfrey, Beyonce hawapitiii, maisha ni kuwa na nidhamu tuuu, ukileta mbwembwe kwa wazungu wanakusanua kweli na sio mchezoNjia aliyopitia Bill Cosby, na R.Kelly anaiendea
Halafu Kumbe DT mwenyewe kipindi hicho Tyson yuko on peak ndio alikuwa mshauri wake kiuchumi.Mike Tyson alikwenda Room na mwanamke na wakafanya mapenzi wakamalizana.
10 years baadae yule mwanamke akaenda kufungua kesi kwamba mike tyson alimbaka na Mike alikwenda jela.
Michael Jackson alipitia mikasa kama hii pia. Bill Cosby? Na wengine wengi tuu.
Kimsingi marekani ukitaka kupotezwa anatumika mwanamke au msichana mwenye umri mdogo na unakwenda na maji.
Wakati ule wasingemsumbua kwa kuwa alikuwa na faida kubwa kwao. Wameona anataka kujitambua na kutaka kuachana nao ndiyo maana wamemuwahi mapema.Hapo nashindwa kuelewa miaka yote walikuwa wapi ukizingatia wao ni taifa kubwa
Hatufanani mitazamo
Si vema kuhukumu bila ithibatiClearly. Baadhi yetu tumekariri.
Soma post niliyoweka picha ya 2pac hapo juu usibishe bila kuwa na evidence paka shume ...unajifanya unaijua marekani kumbe poyoyo tu, marekani jimbo moja ni kama nchii zetu africa huku sasa wewe unaeijua marekani unaijua mpaka wapi poyoyo ...sawa sijaishi marekani je wewe ulieishi marekani una nini cha zaidi ulichonacho kwa mfano zaid ya kushinda humu JF nakutaka recognitionsNani hataki kuona mtu mweusi anafanikiwa?
Ushaishi Marekani?
Acheni kuhalalisha ubazazi kwa kutumia kisingizio cha ubaguzi.
Majuzi tu hapa billionaire Jeffrey Epstein, mzungu huyu, kakamatwa kwa makosa yanayofanana na hayo ya R Kelly.
Huyu ni billionaire aliye well connected. Ni rafiki wa Bill Clinton na watu wengine maarufu wenye ushawishi mkubwa Marekani.
Hapo napo utasemaje?
Mnataka mtu mweusi akifanya ushenzi na kuvunja sheria basi asichukuliwe hatua kisa akichukuliwa hatua itakuwa ni ubaguzi?
Marekani hii ambayo watu weusi wameshika nyadhifa zote za kiuongozi ndo watu mnadai ni nchi yenye ubaguzi mwingi?
Come on now...
Hii alisema 2pac mzaliwa wa huko marekani...wewe mkimbizi unajifanya unaijuaaa sanaaa marekani..waulize watu weusi wanaoishi huko marekani juu ya ubaguzi wanaopitia watu weusi juu ya kupata haki zao kisheriaNani hataki kuona mtu mweusi anafanikiwa?
Ushaishi Marekani?
Acheni kuhalalisha ubazazi kwa kutumia kisingizio cha ubaguzi.
Majuzi tu hapa billionaire Jeffrey Epstein, mzungu huyu, kakamatwa kwa makosa yanayofanana na hayo ya R Kelly.
Huyu ni billionaire aliye well connected. Ni rafiki wa Bill Clinton na watu wengine maarufu wenye ushawishi mkubwa Marekani.
Hapo napo utasemaje?
Mnataka mtu mweusi akifanya ushenzi na kuvunja sheria basi asichukuliwe hatua kisa akichukuliwa hatua itakuwa ni ubaguzi?
Marekani hii ambayo watu weusi wameshika nyadhifa zote za kiuongozi ndo watu mnadai ni nchi yenye ubaguzi mwingi?
Come on now...
Si vema kuhukumu bila ithibati