Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wazungu wakishamaliza kukutumia hutafuta mbinu za kukumaliza... Asilimia 90 ya black Americans wenye vipawa na pesa ndefu wameishia Pabaya sana.... Mayweather amakinike.... Hawamgusi kwasasa kwakuwa bado wana faida naye
Jeffrey Epstein je? Huyu ni mzungu na sasa hivi ananyea debe kwa tuhuma kama hizo hizo za Robert Kelly.
Hapo niaje?
Ushafika Marekani? Ushaishi Marekani?
Unawajua Wamarekani weusi wangapi wenye mafanikio?