Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Tayri wananchi wa US wameanza kushinikiza kuondoka kwa donald trump kwa kuanzisha maandamano.
Wahamie IranTayri wananchi wa US wameanza kushinikiza kuondoka kwa donald trump kwa kuanzisha maandamano.
Tusiwe washabiki sana marekani iligawanyika vipande viwili ..angalia hap chiniingefaa uandike "kakundi kadogo" ka wamarekani
Trump kachaguliwa na wamarekani wengi sana kuiongoza nchi
hizo sehemu nyekundu zote walimchagua
View attachment 3378676