Marekani Raia waandamana kumtaka Trump aondoke madarakani.

ingefaa uandike "kakundi kadogo" ka wamarekani

Trump kachaguliwa na wamarekani wengi sana kuiongoza nchi

hizo sehemu nyekundu zote walimchagua

View attachment 3378676
Tusiwe washabiki sana marekani iligawanyika vipande viwili ..angalia hap chini
Tofaut ya watu waliopiga ni kura milioni 2.290 hivi Sasa kura milioni 2 ni idadi ya watu wa wapi mkoa Gani ama wilaya sijui gan hapa bongo ...kama rais alipaswa awaunganishe waamerika badala ya kufanya mambo ya kuwagawa zaidi ...japo namkubali kwenye vita vya kuondoa magaidi...ingekua utawala wa Obama ama Biden , Wala kusingetokea kilichotokea usiku wa kuamkia leo...urais wakat mwingine hutakiwi kuwapetipeti magaidi ..amesema anawawasha na amewawasha...atapiga target zote za Nyuklia na mwisho watamuua huyo khumanei.
 

Attachments

  • Screenshot_20250622-124432.jpg
    66.6 KB · Views: 42
Raia wanaandamana kwasababu Trump kaiaibisha Marekani kwa kutuma midege iliyoaminika kuwa na uwezo wa kupasua miamba ya Fordow kumbe kanyaboya tu.

Bora angebaki kupiga mikwara tu pengine dunia ingeamini hilo lindege lina uwezo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…